Manchester United (Red Devils) | Special Thread



What next .... ..... .....
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Another kichapo .... ....




Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Imekula kwenu .... ..... ..... ati mna kawaida ya kushinda kwenye ngwe ya pili ....
mwaka huu mtakoma ubishi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



 
Mtakoma manyoo mwaka huu,jana mmewacheka watoto wa wenger na nyie leo mnachekwa,mwaka huu piga nikupige,ukikomba ugali watu wanamaliza mboga,utamu kwelikwel.
 
Khe! Mh!,ati nini?,mmefungwa?,sipo hapa kuwacheka,tujipange league ngumu aisee,underdogs hawarembi.duuh!
 


Demba Ba breaks the deadlock for Newcastle
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee





Demba Ba celebrates with Shola Ameobi
after opening the scoring


Newcastle players mob Demba Ba after his goal





Yohan Cabaye fires home a free-kick from distance






Anders Lindergaard can do nothing as Yohan Cabaye's free-kick flies in





Yohan Cabaye runs away in celebration
after firing home a sublime free-kick





Leon Best celebrates after Phil Jones
turned past his own keeper
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Nakuunga mkono Ngosha Huyu Mzee anakera sana, halafu bado anataka aendelee miaka mitatu mingine totaly tired with this red nose scotch. Yaani timu kama hii Successor wake atakuja kupata shida sana, siwezi kuwalaumu sana wachezaji 7bu uwezo wao unajulikana.
 
Mmecheza game yenu na Blackburn J'mosi,FA wakawapatia 96 hours kupumzika I mean J'mosi--------J'tano, Arsenal wamecheza J'mosi FA wakawapatia 48 hours kupumzika.Pamoja na njama zote hizo za FA na vibahasha vyenu lakini malipo ni hapa hapa,3-2 Old Traford against Blackburn na leo 3-0 against Newcastle na Bado J'pili !!!!!!!!!
 

Sawa Wacha1....tumekusikia..ila hujachelewa..hamia Seria A...nikupe timu?, nenda ile ya Belusconi...mzee wa ndama.
 

wanamajeruhi wengi bana..
 

anapanga wachezaji kama anaoteshwa na mashetani..

poleni sana..
 
Khe! Mh!,ati nini?,mmefungwa?,sipo hapa kuwacheka,tujipange league ngumu aisee,underdogs hawarembi.duuh!

unawapa moyo kiivo huwa wanasema city mbovu tu sasa wao wanacheza kama mchezo wa kupiga ramli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…