Huyu Ollachuga Oc timu yeke nilimwambia sio ya kutisha kama anavyojiaminisha wametokea tundunieden kimario Ollachuga Oc hali ya hewa hapo darajani ikoje?
Wabishi sana hawa tunawaambia timu yao ya mtu mmoja haina makaliKuna yule shabiki mmoja humu nilimwambia hapo Chelsea ukimtia Hazard mfukoni hamna wa kusumbu yupo wapi?
Wanashangilia sare leo pamoja na udhaifu wa timu yetu.
Magoli yote uzembe wa bek kama lile ya rudiga tumewapa tu nafikir ed angezingatia matakwa ya kocha tungekuwa mbali sana timu yenyewe ipo kwao hamma hata goli za mipango
Ukimzuia yule umemalizaKuna yule shabiki mmoja humu nilimwambia hapo Chelsea ukimtia Hazard mfukoni hamna wa kusumbu yupo wapi?
Wanashangilia sare leo pamoja na udhaifu wa timu yetu.
Takwimu hazikupi majibu hizo ndo mlibebea kombe kwa buyern munichKweli takwimu hizi zinaonyesha nani kaponea tundu la sindano
Usiangalie takwimu angalia nani amesawazisha...Kweli takwimu hizi zinaonyesha nani kaponea tundu la sindano
Wabishi sana hawa tunawaambia timu yao ya mtu mmoja haina makali
Angalia goli la pili ukabaji wao. Timu inaongoza wachezaji wanashindwa kukaa na mpira nasikitishaKivip mkuu
Ile timu ni Hazard taratibu timu nyingi zinaanza kuijua hiiWabishi sana hawa tunawaambia timu yao ya mtu mmoja haina makali
Wametokea tunduni hawa leoHahaha,alileta ubishi,nilisema kabisa kuhusu mikeka kuchanika maana wanaobahatisha waliidharau sana United.
Sariball katokea tunduni kashangilia kama kashinda anakuja kukazwa nyumbani sasaHivi mnajua kipigo kitakatifu kinaitwa KATA FUNUAyan maana yake ni kwamba naku KATA mtama unaanguka chini then naku FUNUA nakuuliza umeukubali mziki then wewe unajibu naukubali BLAZA huku kamasi zikikutoka mapuani. Hiyo ndio KATA-FUNUA.
Kaa mbali na Sarriball
Wametokea tunduni hawa leo
Timu yenyewe ya mwaka 2004 unategemea nini mkuu? Wengi walihamia kule mamluk ni sawa na sasa tumzomee moyes au van gal kitu ambacho hakijawah kutokea moyes kaja na sunderland na west ham anapokelewa vizur tu ujue tofaut ya mkubwa na mtotoChelsea wananikera wanavyomdharau mtu aliyewaweka kwny raman
Alipita mbele yake akishangilia balaaMkuu,hivi umeelewa nini kimemfanya Mou atake kumchapa mtu ngumi?
We're different from them..wanafanya ujinga mkuuTimu yenyewe ya mwaka 2004 unategemea nini mkuu? Wengi walihamia kule mamluk ni sawa na sasa tumzomee moyes au van gal kitu ambacho hakijawah kutokea moyes kaja na sunderland na west ham anapokelewa vizur tu ujue tofaut ya mkubwa na mtoto
tatizo vijana wanaongelea mihemkoHuyu Ollachuga Oc timu yeke nilimwambia sio ya kutisha kama anavyojiaminisha wametokea tunduni