Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Si mnaona..! Wachezaji tunao..tatizo ni mtu wakuwafanya wajiamini ndo hatuna!!!
 
mkuu hyo ndo falisafa ya mwalim teh teh teh teh.! poor man u
Mkiambiwa morinho sio kocha mnakataa..haya oneni ujinga tunaocheza..timu haina spirit kabisa!!
Kwa babu fergie tulikuwa tunapambana hatakama tunapoteza mechi..sasahivi timu imekaa kishogashoga..wanaogopaaa..wth!!
Kuna muda nashindwa hata nianzie wapi kumlaumu mou,hawa wachezaji ni wazembe kama ulivyosema hawana roho ya kupambana kabisa.
Timu ni mbovu kwelikweli.
Pass accuracy 91%, leo mnatafutana watu dk 3 nzima wanamiliki wao mpira , nyie hata pasi tano shida na hamna hata short on target.
Bado naendelea kusema
Pogba ndio tatizo pale United

Leo kuna dalili za kushuka nafasi ya 13
Wakati wa matatizo msipende kulaumj na kutafuta mchawi, stay calm as long as you still have time!!
 
Kuna muda nashindwa hata nianzie wapi kumlaumu mou,hawa wachezaji ni wazembe kama ulivyosema hawana roho ya kupambana kabisa.
Timu ni mbovu kwelikweli.
Magoli yote uzembe wa bek kama lile ya rudiga tumewapa tu nafikir ed angezingatia matakwa ya kocha tungekuwa mbali sana timu yenyewe ipo kwao hamma hata goli za mipango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…