yan maana yake ni kwamba naku KATA mtama unaanguka chini then naku FUNUA nakuuliza umeukubali mziki then wewe unajibu naukubali BLAZA huku kamasi zikikutoka mapuani
Kuna muda nashindwa hata nianzie wapi kumlaumu mou,hawa wachezaji ni wazembe kama ulivyosema hawana roho ya kupambana kabisa.
Timu ni mbovu kwelikweli.