Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Mourinho hawezi kuandaa mpango wa kumdhibiti Hazard tu Kwa hii Chelsea ya sasa kwasabu Hazard anazungukwa na wachezaji wengine wengi wenye madhala. Kitu cha Mou anapaswa kufanya Utd inabidi icheze kitimu yote.Chelsea threat ni kutoka kwa Hazard tu basi, nina uhakika Mourinho akiandaa plan za kumdhibiti basi! Umeshasahau jinsi Mou alivyomoutsmart Klopp kwenye mechi iliyochezwa Old traford msimu uliopita?
But all in all mechi ni ngumu !
Mourinho hawezi kuandaa mpango wa kumdhibiti Hazard tu Kwa hii Chelsea ya sasa kwasabu Hazard anazungukwa na wachezaji wengine wengi wenye madhala. Kitu cha Mou anapaswa kufanya Utd inabidi icheze kitimu yote.
PredictionSi
Sibishi najua hatujawah kuwafunga darajan Toma 2012 pie bila mou kuwapiga Mara Mbili 2-0 na last match 2-1 mungekua hamjawah kufungwa na United ila mourinho ndy anawamudu.... Msitegemeee penalty badae lazma mkalishwe... Mkipona draw
Tutaona kama chelsea ni ya mtu mmoja mkuuHistoria y darajan tu ndo inahukum ila sio ubora wa timu maana timu yenyewe ya mtu mmoja akishikwa kwisha habar
Pamekucha amka sasa.Prediction
Chelsea 3
Man united 1
Nimeamka saa nyingi tu cute bPamekucha amka sasa.
Sarri kama kawaida yake ..kuwajaza makocha ujuaji.Sarri amedai MUFC kwenye suala la mchezaji mmoja mmoja ina wachezaji bora/wazuri lakini city wapo kitimu zaidi.
Leo kuna dalili ya mikeka kuchanika vibaya mno.
foward line ya liverpool hii butu? Mane Sallah na uyo Firmino au? hoa wanaeza kuwa bora mbele ya Mou lakini sio kwa Sarri mkuu.We mwenyewe unajua liverpool ni timu bora kwako ila unachoandika ni ushabiki tu suluhu liverpool aliyotoa na nyie ni sawa na kufungwa tu hata nyie hamjaamini matokeo yale ndo mana unamtaja klopp kwa kuwa ana timu bora nyie mnamchezaj mmoja tu wa kubadili matokeo liverpool wanafoward line nzur sana .
maneno ya kwenye kanga anaongea mourihno na leo baada ya kipigo ataongea lugha mpaka za malaikaAchaga maneno ya kwenye kanga ww mshamba subiri mpira ndo uje kuongea
*Leaked United XI vs Chelsea*: De Gea, Young, Smalling, Lindelof, Shaw, Matic, Pogba, Martial, Rashford, Mata, Lukaku #mufc [MEN]
14:30Game saa ngapi wakuu?
Chelsea hii hata Alonso anakufungaNani huyo mwenye madhara? Willian au? Au Kante ategemewe kufunga leo?