hapa ndio hua tunakosea. Man utd ina matatizo ya Kocha na sio wachezaji. Hata aje xavi tutaendelea kula buyu. Anapanga timu utadhani anacheza playstation. Pia timu imejaa liabilities, watu kama anderson, rio, evans, evra, nani, berbatov, da silva brothers, owen, gibson etc. Wapo kwa sababu kocha anawalinda