Huyo dogo akili kisoda kuitwa timu ya taifa ya brazil sio jambo jepes fred flop lakin yupo timu ya taifaFred ni bonge la player sema hajazoea bado na pili kocha matatizo yake yanamfanya jamaa asiperform
Bado mtoto sana hata unachoandika kinaakisi kilichomo kichwani mwakoMm nibaba yako mdogo ,popote ukiniona anza kuniita babamdogo
Ndio maana nimekwambia wewe niite mtoto, ila usije shangaa mm pia ni babayako mdogoBado mtoto sana hata unachoandika kinaakisi kilichomo kichwani mwako
Hata chid benz anaitwa baba mdogo umeona akili yake? Tayar akili yake ishaharibika najua wenger kawavuruga sana ndo mana mnapendwa hata kuitwa baba mdogo kuondoa stress za vichapoNdio maana nimekwambia wewe niite mtoto, ila usije shangaa mm pia ni babayako mdogo
Sasa ulikuwa unakataa nini kama vyakina toreira na gunduz vina subir kwa fred? Uwe unakuwa dogoWewe ndio umeongea point, angalau una hoja
Yule mchezaj mou alikurupuka kama kwa sanchez ,wale walikuwa plan ya pep
Yeye mou kaona kufanya hivo ndio atashindana na pep kwenye ubingwa au atampunguzia kas,
Chid benz mm simjui, wewe piga porojo, ila usije kushangaa unaambiwa uniheshimu kama baba yako mdogo, na nitakutuma dukanHata chid benz anaitwa baba mdogo umeona akili yake? Tayar akili yake ishaharibika najua wenger kawavuruga sana ndo mana mnapendwa hata kuitwa baba mdogo kuondoa stress za vichapo
Unajua hata mgonjwa wa ukimwi anatakiwa kujaaliwa hiyo itakuwa njia moja wapo ya kukunasua kutoka kwenye janga la msongo wa mawazo huwa hatumsemi vibaya mgonjwa ni mwikoChid benz mm simjui, wewe piga porojo, ila usije kushangaa unaambiwa uniheshimu kama baba yako mdogo, na nitakutuma dukan
Fred hadi timu ya taifa anaitwa na ukimwita garasa sijui unakuwa unamaanisha nini wewe mlima chumvi??...Wewe ndio umeongea point, angalau una hoja
Yule mchezaj mou alikurupuka kama kwa sanchez ,wale walikuwa plan ya pep
Yeye mou kaona kufanya hivo ndio atashindana na pep kwenye ubingwa au atampunguzia kas,
Anaitwa kukamilisha idadi ya wachezaji 23 , kombe la dunia ulimuona hata kucheza dk 1?Fred hadi timu ya taifa anaitwa na ukimwita garasa sijui unakuwa unamaanisha nini wewe mlima chumvi??...
Anaitwa kukamilisha idadi ya wachezaji 23 , kombe la dunia ulimuona hata kucheza dk 1?
Sasa huyo ni mchezaj muhimu kweli? Tena kaja kakutana na mou ndio kawa bakayoko wa pili
Hujui kuwa alipata injury??Anaitwa kukamilisha idadi ya wachezaji 23 , kombe la dunia ulimuona hata kucheza dk 1?
Sasa huyo ni mchezaj muhimu kweli? Tena kaja kakutana na mou ndio kawa bakayoko wa pili
Huyu jamaa anaongea upuuzi tu..Fred ukimwangalia vizuri unaona potential iliyondani yake..i hope ataendelea kuizoea ligi na ataseattleYes ni muhimu lakin. Na si kweli anaitwa kukamilisha idadi. Brazili ina wachezaji wrnvi mno.. wangeweza kuitwa wengine kwenye nafasi yake. Lakin kaitwa yeye
Injury then aitwe, ? Injury alipata na akapona ndio maana alisafir had urusi,Hujui kuwa alipata injury??
Kwa comment hii bado unasema Fred ni galasaInjury then aitwe, ? Injury alipata na akapona ndio maana alisafir had urusi,
Kubali yule mchezaj pep ndio anajua angemtumia vip au ambadilishe vipi acheze, Mou akakurupuka kuharibu dili kama alivyofanya kwa sanchez mwisho wanageuka magarasa wakutupwa, .
Pigen waendelee kukaa shimoni huku, itakuwa poa sanaWewe nakupiga tatu wiki end hii.
Kwan sanchez kwasasa sio garasa? Kumbuka alikuwa world class player, kitu ambacho fred bado, why asiwe garasa iwapo kakutana na kocha wa ovyo kama Mou?Kwa comment hii bado unasema Fred ni galasa
Kwahiyo point yako ni ipi??...(A)fred ni garasa ila kwa pep angecheza vizuriInjury then aitwe, ? Injury alipata na akapona ndio maana alisafir had urusi,
Kubali yule mchezaj pep ndio anajua angemtumia vip au ambadilishe vipi acheze, Mou akakurupuka kuharibu dili kama alivyofanya kwa sanchez mwisho wanageuka magarasa wakutupwa, .
Point yangu ni hii Fred amekuwa garasa sababu ya mou,Kwahiyo point yako ni ipi??...(A)fred ni garasa ila kwa pep angecheza vizuri
(B)fred ana uwezo mourinho ndo anayemuaribu
(C)all the above