Hata kama ungelikuwa kocha wewe huwezi kuruhusu kipaji kikubwa vile kiondoke.Matteo Damian mbona alisema wazi anataka kuondoka Man United ila Mourinho akambakiza kwa lazima na ndio maana jamaa hachezi juve, inter, fiorentina zilikuwa zinamhitaji
Kuhusu kucheza aongeze juhudi mazoezini atapata nafasi tuMatteo Damian mbona alisema wazi anataka kuondoka Man United ila Mourinho akambakiza kwa lazima na ndio maana jamaa hachezi juve, inter, fiorentina zilikuwa zinamhitaji
Kupanga ni kuchaguaView attachment 897671
Kwani hapo nimekosea nini? Nimelinganisha uwezo wa hao wachezaji, ishu sio kushinda mech 6 , hii ni kawaida maana tumeshashuhudia tukishindwa kufungwa mech 49 ,Mimi Ningekushauri tu Ndugu! Ungekaa Neutral Kwanza at least Mpaka April...
Kushinda Mechi 6 kusikufanye Kutembelea Kila Jukwaa na Kujiona Umeshatengenea Kila Idara.
Its too early Kujiproud na Arsenal Hatutaki Kuja kukupoteza Kwenye Haya Majukwaa kwani Kuja kutukimbia haitakuwa Vizuri.
Tunaye Dalot tayari pamoja na Matteo Darmian
Kwani hapo nimekosea nini? Nimelinganisha uwezo wa hao wachezaji, ishu sio kushinda mech 6 , hii ni kawaida maana tumeshashuhudia tukishindwa kufungwa mech 49 ,
Ninachosema hapo kwenye picha ni jinsi gani man u na liver walivyolamba garasa,
Hivi kweli fabinho ni wa £44m?
Kwa uwezo gani hasa?
Hebu angalia Sven mislintant alipoenda huko huko france akamleta huyo mtoto kwa £7m tu, ambaye bila ushabiki amemzid mbali huyo fabinho,
Hii hali ni kawaida tu, kama chelsea walivyowahi kuuziwa mbuz kwenye gunia ktk usajir wa bakayoko,
Kwa fred sitaongea sana maana ,huenda ni mfumo wa mwalimu ,
Arsenal bana soon utaingia ndani ya blanketKupanga ni kuchaguaView attachment 897671
Arsenal bana soon utaingia ndani ya blanket
Alichonishangaza huyu jamaa kubeba picha za hao jamaa na kuleta ulinganifu mkuu hii kitu ilitokea kwa matic na bakayoko baadhi ya watu wa chelsea wakaja lukaku na morata saiv wapo kimyaa huyu nae muda si mrefu atatulia tuBado anajifunza sasa ushabiki kwahiyo yupo na hamu sana kutafuta Mtu abishane Naye..
Humu JF tulikwisha Sahau Kuwa Kuna Washabiki Wa Arsenal! Wenzake Bado Wamebaki Neutral Wanasoma Upepo unakovumia lakini Yeye anajifanya Kuanza Kuongelea timu za wenzie..
Huwa ninamshauri Abaki Neutral Kama Mimi lakini anajiona anajua..
Mkuu huyo Unaweza sema Twin Brother Wa Malafyale anaebeba Ubingwa Wa EPL na CL Kila Msimu.
Lakini ikifika Mei tunawaonea Huruma japo nasisi tunaumia.
Hii hela ndefu mno hata km ameajiri watu hamsini na analipa ushuru ipasavyo.£375,000-a-week deal DE Gea , apewe apendacho kwakweli
Man U haiwezi kufikia huko hata siku MojaYan bila kufanya changes za kutosha msimu huu tutamaliza wa 17
Man U haiwezi kufikia huko hata siku Moja
Man u haiwezi kufika hukoSawa ww c unaleta ushabiki au unazan mm ni shabiki wa team gan
Huyo amekwisha chukiliwa na buyer kwa matumizi ya mwakani buyer wanachukua kila kilichobora kinachocheza ujerumaniYah kwel yupo gud sana na anq jituma