Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sub za ferg leo balaa tupu

Mkuu hapa tukubali tu..we are about to have a 2nd defeat in not more than 5 days!

SAF inabidi aingie sokoni fasta;kiungo mchezeshaji hatuna kabisa.

Arrrggghhh!
 
♫ "inaniuma sana".....aaahhh, muda upo bana...."inaniuma sana....!"♫
 
Hata kama hatuna viungo kuna wachezaji kama nani na rooney wameshindwa kabisa kutoa msaada kwenye timu kwa nini hawatolewi wamo tu
 
75′....Substitution
Wayne Rooney
Anderson
Well, he has a brilliant goalscoring record against today's opponents, but Rooney is substituted for Anderson.

.....siku ya kufa nyani
 
Mara nyingi sub ya washambuliaji huwa haina tija sana kwenye timu
 
Hata kama hatuna viungo kuna wachezaji kama nani na rooney wameshindwa kabisa kutoa msaada kwenye timu kwa nini hawatolewi wamo tu

....huangalii nini?

75′
Substitution
Wayne Rooney
Anderson
Well, he has a brilliant goalscoring record against today's opponents, but Rooney is substituted for Anderson.

...keshatolewa..., ila nawaaminia nyie wakareee, mnaweza kabisa kurudisha hizi..!
 
Next time ferg lazima akubali kumuweka benchi nani vinginevyo tunakuwa tunajaza tu mizigo uwanjani
 
hahahahaha, huyu Jones nae ni mzuri sana kwenye kujifunga, ana mabao mangapi mpaka sasa ya kujifunga?
 
Yeah, si unajua tena Webb ndani ya nyumba...hahaha
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…