Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yake

Hiyo historia ilishushwa na Roho Mtakatifu au aliijenga yeye kwa uwezo wake?
 
Victor lindelof, smalling, lukaku even yule jamaa ambae toka msimu uanze hajacheza.
Walitakiwa wasiwepo united.
Ni wazito sana halaf careless
 
Baily jana kavurunda sana magoli yote mawili ni uzembe wao pamoja na young
 
Sijui nini cha maana kilifanyika hadi timu ikacheza vile kipindi cha pili,lakini nakiri kwamba ndio aina ya mpira ambao mashabiki wote tumekuwa tukitaka timu icheze. Sio entertaining football wala defensive but ATTACKING!
Kwa mtizamo wangu,achilia mbali goli la kwanza lililotufufulia matumaini,mata amekuwa na uchezaji mzuri kwenye namba 10 kuliko pogba maana timu inakuwa laini zaidi akiwepo yeye. Kweli jamaa ni underrated kuliko tunavyodhani.
 
Nikweli kabisa baada ya mata kuingia mpira ulibadilika kabisa
 
Hali hiyo ipo sana mkuu. Kuna wachezaji wamenunuliwa na vilabu vikubwa lakini wakashindwa kudeliver. Kuna wakati mchezaji anashindwa ku-adapt kwenye timu. Angalia Jemes Rod pale Madrid, Angalia alivyokuwa Mario huko Bayern na sasa Juve. Timu zilimkimbia Mpape na Griezman si kwa sbbu ya bei bali hofu kuwa wanaweza kushindwa ku-adapt.
 
Eti Mourinho sio kocha, ila analindwa na historia yake

Hiyo historia ilishushwa na Roho Mtakatifu au aliijenga yeye kwa uwezo wake?
Ukute uko namtumbo huko kijijini unalinda shamba la bibi yako. Shemeji yako kaja na tecno umemkwapua na umeingia jamii forum kuchangia mada bila kujua kipi ni kipi.



Next time uwe unauliza kabla ya kukurupuka kama umeota ndoto za kushinda biko.



GGMU
 
Mkuu hapa unaharisha au?
 
Mashabiki wa mpira hatupo hivyo Chief.
 
Wengi hawakuliona hili.
Nafikiri Mou ataanza kumpanga mata atutolee maviungo mazito pale ili timu ichangamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…