Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tubak na uswahili wetu mzungu si mwenzetu ule uwanja haukuwa na wazo wala bango kama ambalo unapenda
Huyo kocha kasajili mabeki watatu wote wabovu anataka wengeni. Kasajili viungo watatu lakini wote anashindwa kuwatumia. Kasajili washambuliaji wawili lakini bado analialia. Tabia yake na ufundishaji wakendio unamuangusha. Mechi imeisha na wachezaji wamejituma ata kwenda kuwapongeza huyo anakimbilia vyumbani anawaacha wachezaji kama awajafanya la maana.
 
Martial niliemuona leo na pogba bado imenifanya niendelee kuamini katika vipaji vya hawa watu hasa Martial binafsi namuelewa sana ni kitendo cha kuaminiwa na kupewa confidence basi ni bonge moja la mtu.
Second half ni kama wachezaji wamekuja kumuonesha Mou kwamba wanaweza kufanya kitu.

Naamini bado Mou ana mda wa kubadilisha mbinu zake na migogoro yake na wachezaji mambo yakawa mukide pale O.T.
 


Huwa napata raha sana kuangalia hizi interview za mashabiki haswa huyu jamaa...mwishoni kamponda lukaku nmecheka sana eti bora kule mbele tuweke hata friji watu wanywe vinywaji
 


Huwa napata raha sana kuangalia hizi interview za mashabiki haswa huyu jamaa...mwishoni kamponda lukaku nmecheka sana eti bora kule mbele tuweke hata friji watu wanywe vinywaji

Mkuu kusema kweli lukaku sijui kaweje...control yake ovyo anakosa Sana magoli.
 
Unajua mnashindwa kutambua mambo kuna first choice na second choice mourinho mapendekezo yake ya target za kwanza hajapata ed kazingua hao ni chaguo la pili kwa mfano lukaku badala ya greizman bailly badala ya kudibali wapo wengi mkurugenz alikuwa akichelewa

Tulichelewa hadi wakatia mikataba mipya


Mourinho ended up signing none of them but now two new names have emerged at who the club were after.
Former England boss Fabio Capello was quizzed on United’s transfer woe while appearing as a Champions League TV pundit this week.
And it was then he revealed how Capello met Mourinho where he was told Inter’s Milan Skriniar and Napoli’s Kalidou Koulibaly were both mentioned.
 
Kwa mpira wa martial wa jana ed woordward nampongeza kwa kuzuia uuzwaji wa martial na hata shaw alivyokataa kubadilishana na dany rose ule upande wa kushoto pogba aliongezeka kukawa shaw,martial na pogha hatar sana kulia kukawa mata na lukaku
 
Yani tungelogwa kumchukua willian tumtoe martial ulikuwa ni ukichaa martial si mkabaj mpe mpira pogba nae mpe mpira daa
 
Narudia tena Maneno yangu. Mou sio kocha. Ni mtu ambae anawekwa kwa sababu ya history yake katika soka ila sio uwezo wake Wa sasa katika soka.


Hebu cheki game plan yake aliyoingia nayo Jana kabla ya kufanya sub tatu. Katika starting eleven yake aliweka wachezaji 6 nyuma. Yaani united ipo old Trafford tena ikicheza vs Newcastle unaweka nyuma wachezaji 6. Huu ni upuuzi ambao hata Kocha Wa Jkt Ruvu ya Masau Bwire hawezi ufanya ukienda pale uwanja Wa Mabatini "Mlandizi"



Game approach ya kocha ni njia kubwa ya kutafsiri uwezo Wa kocha. Jana kama ingekuwa si uzembe na upuuzi Wa Newcastle tungekuwa tunasema mengine.



 


Huwa napata raha sana kuangalia hizi interview za mashabiki haswa huyu jamaa...mwishoni kamponda lukaku nmecheka sana eti bora kule mbele tuweke hata friji watu wanywe vinywaji
Utani lakin ni kweli. Lukaku is too heavy.. kugeuka mzito. Not creative
 
Binafsi formation na machaguo ya kocha ya nani aanze na nani acheze wapi mara nyingi nayaona yanaathiri sana matokeo ya mwisho na hata umiliki wa mpira. Haya ni baadhi ya maoni ya weupe kuhusu teamView attachment 889116
 
Drama kubwa ipo katika team. Kuna pichapicha ambazo somehow zinakuwa sumu kubwa kwa team na mostly tunaoumia ni mashabiki. Kocha analaumu management akiwa na facts zake(mpunga mdogo), management inamkomalia kuhusu matumizi ya fedha kununua wachezaji wengi ambao mwishoni huwa hawatumiki na kuishia kuuzwa au kuachiwa free (uwekezaji mbovu).
Kocha huyu huyu inasemekana hana mahusiano mazuri na wachezaji eg Martial, Pogba,Shaw etc.
Team sasa hv ni kama dysfunctional family.
 
Kuna wachezaji hawakustahili kuwepo ktk timu msimu huu
1: Victor Lindelof
Huyu hata hakustahili kuvaa jezi kabisa, msindikizaji na muokota mipira. Game nyingi sana amekuwa uchochoro na hajaonesha kuimarika hata kidogo licha ya kupewa nafasi mara nyingi mbele ya wachezaji bora eg Baily.
Kumuuza Blind na kumbakiza Lindelof ni sawa na kuuza simu na line ili ununue vocha (Blind alikuwa mzuri ijapokuwa namba wanazocheza ni tofauti ila uwezo wake upo juu sana)

2: Chriss Smalling & Phil Jones
Hawa majeruhi yamekuwa yakiwaandama sana na kuja kuwa fiti inawachukua muda kurudi ktk viwango vyao. Smalling ni mzito sana na Jones naye vilevile ni mzito na ana maamuzi mabaya na huwa anachelewa kufanya maamuzi akiwa beki wa mwisho. Anatumia nguvu sana kuliko akili kiasi kuwa sometimes hata marefarii wamekariri na huwa anaambulia kusababisha penati na kupata kadi nyekundu.

3: Marcos Rojo
Huyu jamaa anapambana sana ila naye ni spana mkononi i.e. trip moja shamba, moja garage.
Kwa kipindi kirefu tokea amesajiliwa ameshindwa kucheza zaidi ya game 3-5 mfululizo bila kupata majeraha ambayo yatamuweka nje miezi 3 au zaidi. Ni ukuta imara ila afya yake inakwamisha. Huwezi kusema unamtegemea mchezaji ambaye anacheza mechi chache ndani ya mwezi na kukaa nje miezi 2 na zaidi.

4:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…