Nadhani leo nimeumia zaidi kwa mara ya kwanza hata kama Mou anazingua lakini sio kwa kufungwa kiajabu hivi ndani ya dakika chache dah, nimeumia moyo sana
Mimi ni arsenal ila mnachokipata watani ni zaidi unyanyasaji wa kijinsia asee poleni sana,nimejarbu kuwaza kwanini Mou asimuweke pogba pembeni tena hata sub asimueke.
Nadhani leo nimeumia zaidi kwa mara ya kwanza hata kama Mou anazingua lakini sio kwa kufungwa kiajabu hivi ndani ya dakika chache dah, nimeumia moyo sana
Hii ni aibu ya karne kwa viongozi wa Manchester United kwa kutokusoma alama za nyakati, yaan wanaona kabisa kocha hana mahusiano mazuri na wachezaji lkn wao wanaangalia tuu
Board ya Manu inajifanya kutokufahamu Ile usemi wa kawaida kabisa kwamba" Coach is hired to be fired" mashabiki waikumbushe board yao itoke usingizini. Hahaha mwanitesa United.