Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhani leo nimeumia zaidi kwa mara ya kwanza hata kama Mou anazingua lakini sio kwa kufungwa kiajabu hivi ndani ya dakika chache dah, nimeumia moyo sana
 
Hii ni dhahama. Kocha asipaniki, anapaswa kutulia wanaweza kurudi mchezoni. Media za Uingereza zinachangia kuharibu hii timu na si kocha. Ukiwa una mtoto asiyejiweza vizuri darasani na wewe ukakazana kumnanga, ndo unampoteza kabisa.
 
Mata in for Baily dakika ya 18...sijui kwa nini hii sub...
 
Mourinho Must Go.. Ogopa Sana wachezaji wakiwa na mgomo wa chinichinii...!!
 
Mourinho anaonyesha amepaniki. Tactical substitution in first 20 minutes
 
Umeongea mkuu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…