Sanchez failed
Pogba failed
Lindelof failed
Fred failed
Bailly failed
Mkhitaryan failed
.....
Lukaku, Ibrahimovic & Matic angalau naweza kusema wapass
.....
sasa kama wewe ndiyo baba utaendelea kumsomesha mtoto ambaye anafeli kila unapojitahidi kumsomesha huku unatoa gharama kubwa??
......
mifumo inagoma haileti matokea we bado unang'ang'ania tu husikilizi wachambuzi, hushauriki hatimae wachezaji wanaamua kukuchana mbele ya vyombo vya habari bado tu hujiulizi mara mbili???
......
tulijipanga kisaikolojia haya matokeo hayatupi shida