Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unafurahisha wew

Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc

Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Kwa hiyo lipi zuri na lenye tija, kumiliki mpira pekee au kushinda!? Yaani unafungwa halafu utetezi wako ni kwamba na wewe siku hiyo ulikuwa bora kuliko aliyekufunga kwa sababu ulimiliki mpira zaidi yake!? LIVERFOOL fan subiri round ya kwanza iishe angalau utaweza sema kitu chenye uelekeo unaoelekea
 
‪Imeripotiwa kuwa Juventus ipo tayari kutoa Pound Milioni 50 sawa na zaidi ya Bilioni 149 za Kitanzania pamoja na Paul Dybala ili kuinasa saini ya Paul Pogba anayekipiga Man United ktk dirisha dogo la usajili mwezi Januari 2019.#MillardAyoUPDATES‬
 
Naomba isiwe uvumi tu iwe kweli. Tutafaidika sisi,manake hyo 50 tutaongezea kidogo tutafute kiungo mbadala Wa pogba ambaye atakuwa tayari kuhangaika uwanjani kwa ajili ya timu
 
Ndivyo nikivyoona pia. Martial kamponza Matic.

Dogo akipoteza hakabi, ikipigwa mbele yuko lukaku peke yake dogo haonekani. Tukishambuliwa nyuma haonekani, akipewa pasi ya kufunguka anapozi kwanza, au anaremba hadi ana poteza.
 
hii team yangu mbovu mashabiki wenzangu viherehere yani tabu tupu
 
Ndivyo nikivyoona pia. Martial kamponza Matic.

Dogo akipoteza hakabi, ikipigwa mbele yuko lukaku peke yake dogo haonekani. Tukishambuliwa nyuma haonekani, akipewa pasi ya kufunguka anapozi kwanza, au anaremba hadi ana poteza.
Ndio maana huwa sielewi mtu anaposema Sanchez akae bench Martial aanze.
Sanchez akiamua hapa napita,anapita kweli na anaupiga mpira. Martial mtoto wa mama sana.
 
Wapo wanaosema Lukaku ni striker mbovu hastahili kuchezea United
 
Kumbuka hata valencia alikua namba 7...ila kwa sasa ni namba 2 tegemezi.. Ningekua mou ningemjenga perreira awe namba 6 na ameonyesha anaeza akipewa nafasi...
Namba 6 kwenye premier league unapaswa kuwa na nguvu na roho ngumu,Perreira asili yake ni namba 8 au 10 na alikwenda Valencia kwa mkopo alikuwa anacheza kama winga
 
Unataka adabu gani mkuu? Kwani nilichokosea kuandika apo ni nini Manure!? Ndo icho ulichoona? Ujaelewa popote? Acha kujitoa ufahamu mkuu. Bado una stress za kufungwa na Tottenham.
Munure ni nini?? vile akili yako inataka ndivyo tunavyokupeleka ukija kwa nidhamu utaheshimika ukija kihuni utajibiwa kihuni jifunz adabu kama wakina mentor na aden + southern highland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…