Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fellain naye ball control ni shida sasa kiungo anayeshindwa kuumiliki vema mpira ni hasara sana. Jamaa strength yake ni mipira ya juu zaidi,huku chini mtu unakuwa huna uhakika
Hilo ndilo linanipa wasiwasi kiungo ukiweza kutulia kama fernandinho utafanya poa huwa napenda sana anavyocheza huyu jamaa sisi tunatakiwa kupata kiungo kama cha fernandinho
 
Subiria manchester city ushinde kombe lako sio hiyo takataka kutuambia wababe wako ndani ya miaka minne sasa
Haha unafurahisha city nimemuosha mpaka hana hamu na mimi game 3 nyuma hajafurukuta

Jana nimekupigia alie kuburuza 3
 
Haha unafurahisha city nimemuosha mpaka hana hamu na mimi game 3 nyuma hajafurukuta

Jana nimekupigia alie kuburuza 3
Ndo mana nimekwambia liverpool kombe lake ni kumfunga manchester city tu hiyo ndo kazi nyepes kwake mechi ya jana umeshinda kwa wenyewe kuwapasia sikuona kipya

Kumfunga manchester united unahitaji bailly ajifunge ktk vitimu ambavyo huwa sivifikirii ni liverpool.
 
Kumfananixha drogba na lukaku duh kwel washabik wa manu mmekosa cha kufanya haha drogba ni moja ya mtu hatar kuwah kutokej EPL

YNWA
Ukiwa unakuja hapa hakikisha unasoma vitu kwa utulivu
 
Unafurahisha wew

Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc

Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
 
Unafurahisha wew

Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc

Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Pointless ngoja nikuache sio level yangu wewe wenzio wanashinda mech wanapata point unazungumzia mpira kuusaka kwa tochi hizo ndo point zenu?

Kaangalie takwimu kama mlivyomfunga city mlimzidi umilikaji wa mpira.
 
Ushabiki utakuuwa wew kumlinganisha legendary na ngosha

Ok anascore sawa haya tuzo gan ya EPL ambayo anayo mpaka sasa ??? Didie anatuzo za kutosha za EPL uje umlinganishe nd huyo nyumbu
 
Unafurahisha wew

Yaan wew kuifungaga liver ni kwa kubahatisha tu bc

Last game unakumbuka mlivyo usaka mpira kwa tochi hapo hapo OT
Lakini mechi kashinda liverpool mpira alikuwa nao spurs ndo mana nimekuambia jana sikuona kitu kwako ila ukileta ushabiki huwez kuona hilo hii ina maana liverpool aliingia kwa lengo la point 3 tu ndivyo hivyo mourinho anacheza na wewe unakuacha ukimbimbie jioni mahesabu.
 
Me nilijua unajua mpira kumbe hujui kabisa sasa mtu anamiliki mpira afu anazidiwa short on target khaa sasa nini lengo la kumiliki mpira braza

Acha bc!!!!! Yaan spurs tumemshambulia sana na ndio maana umiliki wao wa mpira ulimkua hauna madhara kwetu

Now tunaangalia mashambulizi tu

Sasa kama haushambulii faida yake nini
 
Ushabiki utakuuwa wew kumlinganisha legendary na ngosha

Ok anascore sawa haya tuzo gan ya EPL ambayo anayo mpaka sasa ??? Didie anatuzo za kutosha za EPL uje umlinganishe nd huyo nyumbu
Naona bado hujaelewa kitu

Kuna takwimu salah alivunja ya christiano ronaldo goli nyingi ndani ya epl ktk msimu mmoja hapo walikuwa wanazungumzia tuzo au makombe wengine mpira mmevamia kipind ronaldo anaweka hiyo rekod alizoa tuzo zote na makombe salah kafanya hivyo? Tuliza akili sana ktk baadhi ya mijadala kwa kukusaidia isiumbuke tena.
 
Angalia goolkeeper saves ni nying hyo inaonyesha ni kiasi gani tumewashambulia
 
Nani kacheza mpira? Umezungumzia kuutafuta kwa toch shorts on target ni zile ambazo dembele alikuwa akipiga chenga karibia na box anatoa boko mnamoigia kipa wao si mmetengeneza nafasi kaangalie tena marudio najua utahamaki sana
 
So lukaku ana tuzo gan sasa
 
Nani kacheza mpira? Umezungumzia kuutafuta kwa toch shorts on target ni zile ambazo dembele alikuwa akipiga chenga karibia na box anatoa boko mnamoigia kipa wao si mmetengeneza nafasi kaangalie tena marudio najua utahamaki sana
Hvi unajua maana ya short on goal au short on target ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…