Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona sijaona mantiki yako hapo
 
Hii sio MUFC ninayoijua,tumeshinda lakini hii ni aibu.

Nimekumbuka ile fainali ya UCL ya Chelsea na Bayern Munich.

Tunajilinda vile dhidi ya Watford kweli?? Unacheza na Watford roho unaishikilia mkononi?

Gori alilofunga smalling linatibu nguvu za kiume endapo kama ukiliangalia mara 2 kwa siku.
 
Hii sio MUFC ninayoijua,tumeshinda lakini hii ni aibu.

Nimekumbuka ile fainali ya UCL ya Chelsea na Bayern Munich.

Tunajilinda vile dhidi ya Watford kweli?? Unacheza na Watford roho unaishikilia mkononi?

Kipindi cha kwanza tumecheza vizur cha pili hovyo

Mpira umebadilika sana yale mambo ya zamani kwa sasa ni ngumu kujirudia kirahisi uwekezaji wa maana unatakiwa hata timu ndogo zinachukua wachezaj wazur mfano everton anaweza kuchukua mchezaji toka barcelona.
 
hivi kwa wale wanaosema Manchester hii akipewa Zidane au Guardiola itakuwa hatari nani?? hebu jitokeze nikuone kwanza

Manchester United imeisha uwekezaji unahitajika kwa hali na mali hatuna timu pale
 
hivi kwa wale wanaosema Manchester akipewa Zidane au Guardiola itakuwa hatari nani?? hebu jitokeze nikuone kwanza

Manchester United imeisha uwekezaji unahitajika kwa hali na mali hatuna timu pale
Nimemuona martial daa ana kazi nzito ya kufanya kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…