Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Media za Uingereza zina mchango mkubwa kwamba zimefanya ligi yao kuwa na thamani kubwa sokoni lakini wanachangia kwa kiasi kikubwa kuharibu ubora wa mchezo wa timu na wachezaji wa ligi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nikiangalia huwa nasema atakaefungwa sawa tu mood inakata mapema tena nikiona pasi nyingi zinapigwa kurudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mshambuliaji kama Lukaku,sijui!

Morata anazingua lakini Chelsea wametumia uwezo wa kina hazard na Pedro wameshinda game.

Ukiiangalia wachezaji wetu ni kama vile hawajuagi nini wanataka wanapokuwa uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…