Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Defensive crisis is now apparrent. Jamaa hawana stamina, defender anaanguka kiwepesi, timing very poor, mbele nako kulikosekana ubunifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafika mahali uvumilivu kocha una mshinda mi ninemuelewa sana jamaa sasa huyu ni striker
 
Inafika mahali uvumilivu kocha una mshinda mi ninemuelewa sana jamaa sasa huyu ni strikerView attachment 849004
Performance ya kipindi cha kwanza na mfumo alioanza nao kocha haukuwa na tabu.
Determination ya wachezaji wetu imekuwa tatizo kubwa sana.
Tumeadhibiwa kwa uzembe sana,
Unapata clear chance ya kufunga una shindwa Fanya hivyo kwenye big match?
Binafsi ni muumini Wa Mou, isipokuwa alichokosea zaidi kilikuwa ni kulaumu askari jeshi wake hadharani huku akitoa madhaifu yao kwa maadui.
Namshukuru kwa alikotutoa, haikuwa rahisi hata kidogo kuachana na zama za Van Gaal,
Ambapo kulikuwa na rejection ya wachezaji wakubwa kusajiliwa utd.
Tunahitaji nini kwa sasa?
_Pengine Mou awaombe radhi wachezaji wake kwa sasa kuondoa tofauti zao.
Pengine bodi ya man utd na senior players waongee na wachezaji Ku rescue situation iliyokuwepo nyakati za David Moyes?
Pengine Mou ajiuzuru?
Na akijuzuru mrithi wake atakuwa nani?
Zidane kama anavyotajwa?
.......
Kwa sasa timu yetu imekosa hata falsafa iwapo uwanjani.
Hakuna hata first eleven ya kudumu hili ni tatizo kubwa kwa sasa!
Tusubiri wakati ukiamua....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi huyu jamaa sijawahi kumuelewa
Hatar sna lukaku hamna nmna ndo mcheaj wetu tena mkuu ukiwa na striker kwa mtindo huu ni ngumu sana kuwasumbua mabek wa timu pianzani sas wao watakuwa hawana kazi zaidi ya kuchukua mipira kwa lukaku ambapo haikai mbelr nakjanzisha mashambulizi kuja kwetu watu hawaoni umuhimu wa bek nzur tobby kachukua mipira mingi sana kwa lukaku.
 
Jengeni team acheni ujanja ujanja!
Uki combine Man U hii na Liverpool ni mchezaji gani wa Man U ataanza ktk kombinenga hiyo?
Hata mmoja hawezi anza,hii inaonyesha team yenu sio kabisa
Nimuweke nje kipa Octopus aanza De Gea?
 
Hapa mkuu kuokoa timu ni lazima kocha afukuzwe na si vingenevyo wachezaj hawataweza kuamka tena bora wakutane na sura mpya na maelezo mapya mbinu mpya lazima washagawanyika kwa mfano bailly kaanza kuwajibu wakina gary neville alipokosolewa mech iliyopiya sasa kuna wachezaj hapo? Mchezaj akianza kujibu mapigo ya nje ya uwanja lazima atokr kwenye msingi tu
 
Hawezi kujiudhuru, uchumi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengeni team acheni ujanja ujanja!
Uki combine Man U hii na Liverpool ni mchezaji gani wa Man U ataanza ktk kombinenga hiyo?
Hata mmoja hawezi anza,hii inaonyesha team yenu sio kabisa
Nimuweke nje kipa Octopus aanza De Gea?
My bare foot. Liver haina lolote, ni moto wa karatasi. United ina kikosi kizuri sana kuliko Liverpool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama ingekua bet ushapoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…