Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Unajua kuna watu huwa hamjui kitu mnaorodhesha watu ambao kocha anaanza kuomba mpango wa pili baada ya chaguo la kwanza kufeli
Hivi unatambua?
Hilo halipingiki na kuokoa ari ya timu kocha lazima atolewe kafara akibak ni ngumu wachezaji kurudisha morali japo makosa yapo kwa baadhi ya watu.Wataishia kumfukuza kama akiboronga match 3 mfululizo
E&K
Sasa Kama Kafeli Kwa Mabeki Hao wote Watatu unadhani Ed atamuamini tena kuwa akimpa pesa akatafute Beki hatofeli tena?
Hakufeli wao ndo waliokuwa wakipinga kwa mfano tobby na magure walikuwa wanataka kuja bodi ikazuia leo aliezuia akikuwepo uwanjani goli zimefungwa kwa njia zile zileSasa Kama Kafeli Kwa Mabeki Hao wote Watatu unadhani Ed atamuamini tena kuwa akimpa pesa akatafute Beki hatofeli tena?
so tatuNaona unalazimisha kuifurahisha nafsi yako haya basi nimepanic so?
Bado mpira unaendelea zinaweza kuongezeka stay tuned
Kama sijui nisameheni, ila attempts na shots ni vitu viwili tofauti, attempt ni kukaribia golini, shot hata kama upo kwa de gea ukanyoosha ni shuti hiloAttempts 23 only 5 on target and no goal.
While wenzako wana attempts 9 na 5 on target with 3 goals.
Man U mnatakiwa mjitafakari asee. Lukaku mpeni kazi ya u steward anakula mshahara wa bure tu. View attachment 848908
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Chelsea mlimfanyia hivyo hivyo ?Mi namuheshimu sana mourinho ni kocha mzuri sana duniani na ukitaja makocha kumi bora duniani jina lake lipo
Nachoona kuna kampeni wachezaji wameianza wakiongozwa na pogba Sanchez na de gea
E&K
hapo unaona kuna attemps kweli? first half attemps zilikuwa 20 then full time 23Samahani Mkuu Naomba Kukuuliza! Hizo Zako wewe Ni Stats za Mechi gani?
Coz hii ya Leo Barclays wana hizi ↓↓
View attachment 848827
Pogba namuona kabisa kakata tamaa bado kuna martial naona mourinho asipotoka kuna watu tutawapoteza na timu itakosa fighting spirit ni bora kumtoa kafara japo si vizur kocha kuendeshwa na players migomo itaendelea tu ikitokea wamefarakana na kocha.Mi namuheshimu sana mourinho ni kocha mzuri sana duniani na ukitaja makocha kumi bora duniani jina lake lipo
Nachoona kuna kampeni wachezaji wameianza wakiongozwa na pogba Sanchez na de gea
E&K
Fact time ya kumrudisha martial na rashford kwenye maeneo yao.Attempts 23 only 5 on target and no goal.
While wenzako wana attempts 9 na 5 on target with 3 goals.
Man U mnatakiwa mjitafakari asee. Lukaku mpeni kazi ya u steward anakula mshahara wa bure tu. View attachment 848908
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao watoto ni wagonjwa au wana tatizo gani?Fact time ya kumrudisha martial na rashford kwenye maeneo yao.