Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mmeangukia pua hahahaa na bado
chama lenu linakufa tartiiiibu
 


hahahahaha..........wewe Wacha1....umenikumbusha mbali kweli......mbali na kuwa mzee wangu alikuwa mwanamichezo nami pia sikuwa nyuma......enzi zangu chandimu nilikipiga, mchangani makurumla na magomeni kondoa niliuputa........Sinza/Tandale Abajalo mpaka uwanja wa magunia msasani, uwanja wa farasi Oysterbay, kawe (Tanganyika Packers), Tandika (Uwanja wa Chuo cha Bandari, mabatini hadi Azimio)......gozi nililisakata........
Basketball pale gymkhana grounds (kabla ya kuleta LIHOTELI LENU LA KIFISADI...i.e. Sheraton), Mitaa ya Zanaki mpaka Chang'ombe nilicheza........table tennis......

Mashetani mwaka huuni wachovu sana si utani.......hawakabi, hawajitumi.....nikikumbuka enzi zile za akina Scholes, Butt, Neville, Kean, Beckham, Cole.....kuna tofauti kubwa sana na hasa kwenye ukabaji.......

However, tofauti na timu zingine.......ManU huwa inapaniwa sana sana na wachezaji wa kawaida sana......siku timu yeyote inapocheza na ManU utaona kuna watu wanataka kuuza majina yao kwenye soko..........lakini hao hao huwezi kuwaona au hawawezi kuonekana akifanya same juhudi akicheza na Chelsea, Arsenal au Man C etc.............na huu ndio ukweli wenyewe.......na hili jambo linanifanya ni wa-support ManU

Nitashangaa sana msimu huu Man U akishinda EPL
 
..........Nitashangaa sana msimu huu Man U akishinda EPL....
Teh teh teh. Usije ukahama kijiwe lakini. Makosa uliyotaja hapo juu ya Man U ni kweli yapo, lakini kumbuka kwamba kuna nafasi ya kuyarekebisha. Usishangae tukichukua kikombe cha EPL.

 

Hahahaha nimecheka sana aisee...nimechelewa kuiona hii comment,hakimbii mtu haha na hao ndugu zangu wote watarudi mkuu,sema naona wameadimika kidogo,kufungwa ni lazima na sio kushinda tu kila siku so watarudi tu soon,na mimi sala zangu siwezi kushinda mpaka hapo May nikiona Arsenal hajamaliza Top 4 haha zaidi inabidi akashinde hii weekend then nitawakubali

NB hii weekend nitakuwa mgeni rasmi kwenye jukwaa lako mkuu nataka niwape support kwa mara ya kwanza muwatandike hawa City kama Chelsea wameweza why nyinyi mshindwe bana??sisi tungeweza sema tulikuwa out of form ile day so tutakuwa sote mkuu....
 



Tutafutie equlpsyyyyyyyyyyyy kwanza ... ... .. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tena huyu alibatizwa na kupewa u-mod ili kijiwe chenu kiwe live zaidi naona anahojiana na Vidic kule ICU.


Mancs wetu hao si uliona mpira wa jana ulivyokuwa butua butua, the deadly trio will deliver, worry not.
 


Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia comment zako ila nimeshindwa kujua wewe ni mshabiki wa timu gani kozi Man Utd ikishinda unaonekana kama ni Man Utd fan lakini ikifungwa comment zako zinakuwa kama ni za mashabiki mseto ( Arsenal, Chelsea, Man city and Co.). Please naomba uweke hadharani timu unayoshabikia
 

Ogah ... .... Manure damu huyo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkongwe wa siku nyingi sana hapa tafuta au gonga mwanzo wa Jambo Forums oops marehemu .... .... .... .... .... ..... habadili jina huyo kama ... .... oops ngoja nisiwaadhiri watu hapa .. .... wengine wako loserfools ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Yuko MANU ingawa si rahisi kumgundua
 

Mkuu sawa nitamfuta tu utamuona humu ndani soon na kampani itakuwa kama mwanzoni.na mkuu Manda naona na yeye amepotea kidogo,

Ok kuhusu hii weekend me nitapenda sana kama mkiweza kucheza nao vizuri kipindi cha kwanza kwa bila bila kipindi cha kwanza ni fresh then cha pili vile vile maana si uliona jana walikuwa wamebanwa sana na walikuwa hawafanyi kitu chochote na wakaanza kujichanganya na kucheza rafu za kijinga,so atleast nadhani team zingine zitakuwa zimewajulia city jana kutokana na mchezo waliocheza na mpaka kupoteza ile game,wakibanwa sana na hasa kipindi cha pili wakichoka tu basi wanakuwa hawana mpya,zaidi namuamini kijana Van Perse atatuletea tu ushindi maana mimi na support Arsenal kwa hiyo game lazima mshinde wakuu....Kumbe City hamna kitu kabisa sema watu hawajawajulia tu naamini Arsenal Wenger alipata kitu fulani kutokana na game ya jana na atajuwa jinsi ya kuwa handle hawa City.....
 

Hahaha mkuu jipe moyo bana wewe shabiki si wa Man U au??labda nimekosea??Maana wazee wa kazi UNITED kushinda ni lazima kama kawaida,hata mwezi wa kwanza bado mkuu hapa mpaka xmas kutakuwa na game nyingi kidogo so hatuwezi jua nini kitatokea so lazima kujipa moyo na timu yako.....
 
FIFA wanataka kutubeba

 
FIFA wanataka kutubeba


Hadi chacha naona huruma. Belo et al mnatia huruma sana na hili simanzi, chacha mnachezea mchangani khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pole chana chana ... ... ..... mtabebwa tu maana bahasha zilianza kudondoka zenyewe chacha majua ile gombania president ya Fifa ndo bahasha nchezo wake khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 

Kijana wangu Wacha Boy nambie, ina maana hukupata PM yangu kuwa niko busy kuzuia posho za wabunge zisipande?, kijiwe nilimkaiminisha kijana wangu Mfarisayo aendeleze libeneke.....soon after kushindwa zoezi la kuzuia hawa mabwenyenye wasilipane laki mbimbili, narud hapa in all fronts, na naomba tu nikahakikishie kuwa by January we will top the table.

BTW Leo mie the Gunaz damdam, naomba jezi ya Fly Air Tanzania, ooh, sor Fly Emirata yenye namba 08 mgongon, jina andika Manda Boy..deal?

 

Bora ww umelisema hili, huyu jamaa nimekua hata simwelew aisee for years now, namjua tangu miaka ileeeee ya jamboforums, enz za kina Icadon na Idimi wa kipindi kileee, ila nampa 'benefit of doubt'..jamaa n ka 'kigeugeu'....sijui Liva huyu au Newcastle?
 
Samahanini sana Mashetani.........Wakuu hivi gemu la Santos na Barca ni saa ngapi?.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…