You don't get it. Tatizo sio kufungwa, tatizo ni that style of play. Come on that is Utd you are talking about. Vs BHA hadi dk ya 70 only one shot on target? Kweli?Hivi kuna timu isiyopigwa? Mwaka jana madrid kapigwa nyumbani na real betis ilikuwaje? Tuwe na subra bana
Namaana kukuambia akiondoka poa akibaki poa hadi muda huu ni kocha niache kuishabikia timu? Ipi nguvu yangu ya kumfuta kazi mourinho mechi ile timu yote ilicheza vibaya mbona akishinda hamuonekani kuja na takwimu ushindi umepatikanaje? Kocha alifanya kila njia timu ipate ushindi ikiwa na pamoja na kupumzisha baadhi ya watu ukija kati pogba kuna muda anapiga chenga na kupoteza mipira hovyo kocha anafanyaje?You don't get it. Tatizo sio kufungwa, tatizo ni that style of play. Come on that is Utd you are talking about. Vs BHA hadi dk ya 70 only one shot on target? Kweli?
Halafu kuna post unasema akiondoka fresh, akibaki fresh. Come on man, ho sio 'subra' unayoongelea hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha nyie jamaa banaKawaida ya man u wakifungwa ndio maneno yao kwa mourinho
E&K
Usisahau wigan alimpiga city fa na united alimpiga city kwake goli 3 sasa sijui makocha walikuwa wakina naniNatamani wolves ndio wangekuwa utd dhidi ya city leo. Ni timu iliyopanda daraja lakini city wanapata tabu sana.
Hii game inatuonyesha kuwa utd hatuna mtu sahihi kama mwalimu wa timu.
Jiran keshapata tabu huko?
nilikuwa naiangalia game ya jirani tanesco nao hawakuwa nyuma kunisabahi kwa kuchukua nishati yao 😡
Jirani Leo daah. Kang'ang'aniwa. Mkeka umeshachanika wengine.jirani amedhamiria kuchana mikeka ya watu
hasa walioweka over2.5
kuna dogo anaitwa costa no10 anajua sana japo hata jamaa aloingia sub yake nae si habaJirani amebanwa ila anafanya fujo sio za kawaida.
Man u tuliwafunga city baada ya wao kuwa wachovu(kumbuka walikuwa wametoka kucheza leg mbili za uefa dhidi ya liverpool)Usisahau wigan alimpiga city fa na united alimpiga city kwake goli 3 sasa sijui makocha walikuwa wakina nani
Kuna muda muwe na utuMan u tuliwafunga city baada ya wao kuwa wachovu(kumbuka walikuwa wametoka kucheza leg mbili za uefa dhidi ya liverpool)
Sent using Jamii Forums mobile app
Na walivyofungwa na liverpool walitoka kucheza uefa? Au wigan alipowatoa fa walikuwa na uchovu?
Liverpool alimfunga kwa sababu walikuwa bora kushinda city..hivi front three ya liverpool huoni kuwa ni moja ya forward line kali zaidi duniani..amini nakwambia tusingeshinda ile gemu kama wasingekuwa wamechanganywa na liverpool kwenye uefa..Na walivyofungwa na liverpool walitoka kucheza uefa? Au wigan alipowatoa fa walikuwa na uchovu?
Mashabik wa hii timu hatari sana leo katoa suluhu alikuwa na uchovu wa huddersfield?Liverpool alimfunga kwa sababu walikuwa bora kushinda city..hivi front three ya liverpool huoni kuwa ni moja ya forward line kali zaidi duniani..amini nakwambia tusingeshinda ile gemu kama wasingekuwa wamechanganywa na liverpool kwenye uefa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuongelee msimu uliopita ambapo city alifungwa gemu mbili tu za ligi( ya liver na yetu)Mashabik wa hii timu hatari sana leo katoa suluhu alikuwa na uchovu wa huddersfield?