Fred sio mzito kama unavyosema,,jamaa yupo sharp ndo maana ata pasi zake nyingi zinapotea maana timu inacheza kwa speed ya konokono..Pogba mzito
Fred mzito
Lukaku mzito
Timu inatoa wapi uwezo wa kushambulia kwa kasi mkuu.
Manyumbu vilaza sana Leo lukakundu hafai shenz na bado tot anakuja!Sahihi,yule jamaa hata Mimi huwa naona siyo quality striker. Ball control yenyewe ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa..Mourihno jamaa mmoja wa hovyo sanaMou akiwa hampendi mchezaji kuna kipindi anamsakizia mechi mchezaji huku akiwa na lengo mchezaji Huyo azingue ili aje kwenye media afanye justification
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kijana angeuzwa tu,mana naona anataka kuwa Mkubwa zaidi ya Manchester United
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi Angel gomez alisimama beki na Van dirk nyuma pale,,watulivu kinoma aisee..sasa huyu gomez angekuwa chini ya mourinho ungecheka hadi ufeTulichemka kwa Klop tu,ule mfumo wake Wa uchezaji na Yale makeke yake pamoja na mihela ya Man U tungeburudika sana mana sahizi hata Angel Gomes angekuwa anatufurahisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manyumbu vilaza sana Leo lukakundu hafai shenz na bado tot anakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tots anachapwa mark ma word ila kikosi kiwe hivi: Degea(David), Phil (Jones), Chris(Malling), Darmian(Matheo), Luke(Shaw)/Rojo(Marcus),Hererra, Pogba, Fred, Sanches,Lingard , Lukaku.Manyumbu vilaza sana Leo lukakundu hafai shenz na bado tot anakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Knuckle sandwich!!Kijana,tumia lugha nzuri,wapo watu wasioipenda MUFC kama King Ngwaba lakini huwezi kuwakuta wakitumia lugha za hovyo!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kubishana humu jukwaani na kubisha kule vijiweni kwenu na wahuni wenzako!
Humu watu wanatofautiana kwa hoja ewe kijana mjinga!
Elimu yako itakuwa ni ya darasa ya tano..mtu hata kuandika tu hujui na unatukana watu..Manyumbu vilaza sana Leo lukakundu hafai shenz na bado tot anakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kuongelea litimu lenu libovu enyi manyumbu.Elimu yako itakuwa ni ya darasa ya tano..mtu hata kuandika tu hujui na unatukana watu..
Rudi shule ukapate japo elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa ya tano ndio nini??Elimu yako itakuwa ni ya darasa ya tano..mtu hata kuandika tu hujui na unatukana watu..
Rudi shule ukapate japo elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yako itakuwa ni ya darasa ya tano..mtu hata kuandika tu hujui na unatukana watu..
Rudi shule ukapate japo elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Angel gomez alisimama beki? Angel gomez aliyeongelewa na jamaa hapo juu ni kinda wa man u. Yule wa liverpool unayetaka kumuongelea wewe anaitwa Joe gomez.Juzi Angel gomez alisimama beki na Van dirk nyuma pale,,watulivu kinoma aisee..sasa huyu gomez angekuwa chini ya mourinho ungecheka hadi ufe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi leo sijui kwanini Ander anakaa benchi kwa aina ya wachezaji wanaocheza nafasi ya kiungo,Herrera ana commitment tofauti na wachezaji wengi wa United.Pale MUFC Herrera ndio mchezaji pekee anayeona ni heshima kuichezea timu. Ningekuwa kocha ningempa unahodha.
Mou anamtandika bench halafu anawapa nafasi wanaojiona wakubwa kuliko timu.
Hadi leo sijui kwanini Ander anakaa benchi kwa aina ya wachezaji wanaocheza nafasi ya kiungo,Herrera ana commitment tofauti na wachezaji wengi wa United.
Nimechanganya madesa mkuu nilikuwa nilidhani amemwongelea yule dogo gomez wa liverpoolAngel gomez alisimama beki? Angel gomez aliyeongelewa na jamaa hapo juu ni kinda wa man u. Yule wa liverpool unayetaka kumuongelea wewe anaitwa Joe gomez.
Wewe kwani pointi yako hasa ni nini??...Mourihno atafanikiwa kwa mifumo yake hii akiendelea nayo??Tatizo mashabiki tunaongea sana...hatuweki akiba ya maneno.! Nimeangalia baadhi ya comment hadi nimeshangaa jinsi watu wanavyoongea pointless baada ya timu kupoteza!
Ugiligili speaking.