Hivi Manure wachabiki wake wako wapi ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wachezaji ICU machabiki ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Europe hakuna bahasha aka brown envelopes khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tulia mkuu mpira si bado unaendelea au ndio final leo??wewe bado lakini timu yako ipo inaendelea au sio??haya tusubiri tuone itakuwaje
Man Utd wameona jezi za Basel wakafikiri wanacheza na Barcelona..lol
Welcome to Channel 5, hahahahahaha!!!!! Only London can make it, uko mashambani kwenu maumivu matupu.
Leo sio siku nzuri ya kumPM BelindaJacob kabisa yaani
Hamna mtu atahama United ni club kubwa tofautu na vitotoor unexperience Arsenal or Chelsea au Man City nadhani kila mtu ameona kwamba mwaka huu United hawapo vizuri kwanza wachezaji baadhi wamestaafu na wengine wameuzwa na wengine wameumia so hapo hamna haja ya kuongea sana wakuu mambo bado sana......maana inafikia mpaka Mancheda anaingia ndani, hamna jinsi imebidi iwe hivyo...