rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Aug 19, 2018 #90,081 Nani atapewa RED leo ?
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,530 Reaction score 81,257 Aug 19, 2018 #90,082 Yani katika dunia hii hamnaga kitu kinanipa raha kama manure kufungwa. Hata nikigonga manzi sisikiagi raha kama ya man kupata tabu. Ni raha ya kipekee sana Sent using Jamii Forums mobile app
Yani katika dunia hii hamnaga kitu kinanipa raha kama manure kufungwa. Hata nikigonga manzi sisikiagi raha kama ya man kupata tabu. Ni raha ya kipekee sana Sent using Jamii Forums mobile app
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Aug 19, 2018 #90,083 Mou atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu Sent using Jamii Forums mobile app
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,509 Aug 19, 2018 #90,084 rubaman said: Nani atapewa RED leo ? Click to expand... Morinyo Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeky JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 672 Reaction score 520 Aug 19, 2018 #90,085 Aya tena the same old stories Sent from my iPhone using JamiiForums
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Aug 19, 2018 #90,086 Hivi Hawa Man U wapo Kwenye Mgomo Nini?
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Aug 19, 2018 #90,087 Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi?
Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Aug 19, 2018 #90,088 aminas said: Ukweli ni kuwa Timu Aichezi Kwa Umoja Yaani Uoni Ile Umoja Wa Wawachezaji Dalili ya Kurudi Mbili na kuongeza Sidhani. Yaani MPka Inaumaa Click to expand... Kuna dalili ya wachezaji kutotaka kucheza chini ya Mou.
aminas said: Ukweli ni kuwa Timu Aichezi Kwa Umoja Yaani Uoni Ile Umoja Wa Wawachezaji Dalili ya Kurudi Mbili na kuongeza Sidhani. Yaani MPka Inaumaa Click to expand... Kuna dalili ya wachezaji kutotaka kucheza chini ya Mou.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Aug 19, 2018 #90,089 rubaman said: Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi? Click to expand... Hali tete sana wanamtetea sana kocha lakini anawaangusha
rubaman said: Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi? Click to expand... Hali tete sana wanamtetea sana kocha lakini anawaangusha
kacnia JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 4,025 Reaction score 15,809 Aug 19, 2018 #90,090 HIVI TUKO MAZOEZINI AU TUNACHEZA MECHI?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Aug 19, 2018 #90,091 Yaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo. LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana.
Yaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo. LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Aug 19, 2018 #90,092 Hahahahaha hii wikiend imekuwa tamu sana.
squirtinator JF-Expert Member Joined Sep 20, 2015 Posts 2,765 Reaction score 4,190 Aug 19, 2018 #90,093 rubaman said: Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi? Click to expand... Naona wanachungulia tu humu.
rubaman said: Kuna wakongwe wa Man Utd hapa hawaonekani leo. Wapi Belo , Nzi, @ DonDonald RRONDO etc. Ni sababu ya mechi ngumu au ni kwa vile ni mwanzoni mwa ligi? Click to expand... Naona wanachungulia tu humu.
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Aug 19, 2018 #90,094 Mkirudisha nahama chelsea kuanzia leo Ila poleni sana E&K
kacnia JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 4,025 Reaction score 15,809 Aug 19, 2018 #90,095 yani timu haina mpango wa kutengeneza nafasi za kushindi hata goli moja what a dissapointment
obadia90 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 477 Reaction score 710 Aug 19, 2018 #90,096 man u a.k.a mbumbumbu fc Sent using Jamii Forums mobile app
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Aug 19, 2018 #90,097 Mack Wild said: Mou atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mou atafukuzwaje wakati man u ndo itakuwa bingwa msimu huu Kulingana na wachambuzi.
Mack Wild said: Mou atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mou atafukuzwaje wakati man u ndo itakuwa bingwa msimu huu Kulingana na wachambuzi.
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Aug 19, 2018 #90,098 Mbao za Mawe said: Yaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo. LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana. Click to expand... Watetezi wake watakuja hapa kudai hakupewa wachezaji anaowataka.ππ Yeye pia baada ya mechi ya leo atawaponda sana wachezaji.
Mbao za Mawe said: Yaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo. LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana. Click to expand... Watetezi wake watakuja hapa kudai hakupewa wachezaji anaowataka.ππ Yeye pia baada ya mechi ya leo atawaponda sana wachezaji.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,860 Reaction score 39,616 Aug 19, 2018 #90,099 Lukaku kapiga kithigino ππππππ
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Aug 19, 2018 #90,100 Nataka tucheze hivyo hadi huyu mbuzi atimuliwe. kacnia said: yani timu haina mpango wa kutengeneza nafasi za kushindi hata goli moja what a dissapointment Click to expand...
Nataka tucheze hivyo hadi huyu mbuzi atimuliwe. kacnia said: yani timu haina mpango wa kutengeneza nafasi za kushindi hata goli moja what a dissapointment Click to expand...