Kumbe press tayari ngoja nikaongezee kwa kusikiliza press yake zaidiPoints za muhimu kuhusu uhusiano kati ya Mourinho na wachezaji especially Pogba kwenye press conference ya leo.
Mourinho: “The truth is we are together for two years & I've never been so happy with Pogba as I am now. That's the truth. I cannot demand more from him, I cannot ask more from him."
Mourinho: “Paul Pogba will again be captain against Brighton, and I am so happy with him and that’s the truth.”
Mourinho: "Please don't write lies. Please don't put Paul in a situation where he appears to be not polite. We've never had a heated discussion. Everything is about respect."
Mourinho: "I've been here for 2 years and the only player to have ever been fined is Anthony Martial. It's not easy to be fined here."
Tayari mkuu.. Ilianza saa kumi kamili.Kumbe press tayari ngoja nikaongezee kwa kusikiliza press yake zaidi
Maneno mazur ya kocha haya labda dogo aendelee kuleta utoto mbona shaw hakuwahi kufanya haya hamna mchezaji ambae alikuwa na hali ngumu kama shaw
We ndio msemaji wa mourinho?mou anamfumba macho pogba kipindi hiki dirisha la usajili haijafungwa maana agent wake pogba ana push mteja wake aende barca sasa subiri dirisha lifungwe kama utasikia mou ana mplease POGABA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mc kwenye shuhuli..Sasa hicho kitambaa cha unahodha ndio kapewa kabisa au ni kwa muda tu
Maana ninavyomjua pogba sifa za uongozi hana ila ni kama mc tu kwenye shuhuli
Nashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.Perreira,pogba na fred waanze kama mechi iliyopita..ila kule mbele ni bora tuanze na martial on left,sanchez on right na lukaku kama straiker..beki wabaki vilevile kasoro darmian
Kwangu mimi Mata ni mzuri kuliko Sanches, has a good sight, he is sharp and has more footballing intelligence than SanchesNashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.
Ingawaje Sanches is more physical than MataKwangu mimi Mata ni mzuri kuliko Sanches, has a good sight, he is sharp and has more footballing intelligence than Sanches
Kushoto hakuna kitu ambacho huyu sanchez kakifanya,,ni bora awekwe martial acompete na rashfordNashindwa kuelewa kwanini kocha hataki kumuweka sanchez on the right, analazimisha kobe mata.
Hahahaha hv unajua pogba ana mkataba wa miaka mingap?Pogba ataondoka bure mwisho wa msimu huu.
Hazard yuko Madrid muda huu mkuu.Pogba ataondoka bure mwisho wa msimu huu.
Kwani mkataba una shida? Ci unavunjwa tu...ukivunjwa apo ci anaondoka bure? Au!!Hahahaha hv unajua pogba ana mkataba wa miaka mingap?
Hazard hawezi kujivunjia heshima kiasi hicho.
Kwani mkataba una shida? Ci unavunjwa tu...ukivunjwa apo ci anaondoka bure? Au!!
Presha ya Pogba kuondoka apo man u ni kubwa sana. Na ukizingatia dirisha la usajili la Hispania bado halijafungwa hivyo kuna uezekano wa yeye kuondoka.Mkataba huwa unavunjwa kwa maneno?
Mkuu siyo mikataba ya kina Ngasa hii.Presha ya Pogba kuondoka apo man u ni kubwa sana. Na ukizingatia dirisha la usajili la Hispania bado halijafungwa hivyo kuna uezekano wa yeye kuondoka.
Mkataba unavunjwa kwa jinsi ulivyosainiwa.