Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakosea
Lishafugwa saa 5pm kwa muda wa uingereza.
announcements inaruhusiwa mpaka 7pm. Ngoja tuone mambo yataendaje, WE ARE READY japokuwa kocha hana matumaini yoyote, zaidi ya kupata tabu sana.

GGMU
 
Lishafugwa saa 5pm kwa muda wa uingereza.
announcements inaruhusiwa mpaka 7pm. Ngoja tuone mambo yataendaje, WE ARE READY japokuwa kocha hana matumaini yoyote, zaidi ya kupata tabu sana.

GGMU
Nimekuelewa mkuu
 
Kwa Courtois kwenda Madrid, sasa De Gea ataozea Manutd.

Kuna Mwarabu Kichaa Wa PSG umeshamsahau?

Ana uwezo wa Kuwanunua Wachezaji Wote 11 Wa Timu yoyote hile bila Ya Kupatana Just Ana-activate Buyout Clause zao tu Kama alivyofanya Kwa Neymar! Na Kama Mchezaji Hana Buyout Clause Basi Haoni Shida Kumwaga £150m Kwa De Gea ikisha yeye atapambana Na FFP.
 
Ni dhahiri kabisa Man u na board vimedhamiria kumfelisha Mou ili afukuzwe aletwe Zizzou......ok Mourinho anamapungufu meng katika playing styles lakin miaka yote deadline day Man u huwa tunatawala

Van gal alimleta falcao siku ya mwisho kuonesha kuwa board iliamua kuwekeza but safari hii malengo ya board na malengo ya coach ni tofauti.......
Kunachosubiriwa ni Mku afeli top 4 tumlete coach mpya.....
Mou anamatatizo ila yulr Ed woodward ni Mbwa amefanya umafia sana
 
Ameshatumia pesa nyingi pasipo akili naona wameamua kumuacha ajifunze kutumia walionunuliwa nayeye mwenyewe last season
 
Mimi nimefurahi sana Mourinho kutokuongezewa wachezaji hapa mwishoni mwa usajili. Apambane hivyo hivyo maana he's full of excuses.

Nadhani management wameshamuweka kwenye target akizingua tu amekwenda.
 
Naona Mourinho kamtoa kwa Mkopo Fossue Mensah na wakati huo huo anataka hela za kusajili mabeki.


Hapa Hatuna Kocha. Msimu huu nimejiandaa kisaikolojia nitatumia weekend zangu kujisomea vitabu.
 
Mourinho on Pogba future, "My perception is he arrived on Monday happy, proud and with a desire to work and he worked amazingly well. He's one of the players that I have to speak with to see how physically, mentally he feels. Same conversation with Young, Fellaini and Lingard."
 
Naona Mourinho kamtoa kwa Mkopo Fossue Mensah na wakati huo huo anataka hela za kusajili mabeki.


Hapa Hatuna Kocha. Msimu huu nimejiandaa kisaikolojia nitatumia weekend zangu kujisomea vitabu.
Mensah bonge la beki..kawasaidia sana crystal palace
 
Mourinho mbinu zake zimepitwa na wakati,anapaswa abadilike na acheze mfumo Wa kushambulia zaidi na kusuka ulinzi mzuri na muuanganiko mzuri kati ya kiungo na ushambulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…