johnmweusi
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 201
- 268
Ishu ya mchezaji kuataa timu A na kwenda timu B sio jambo jipya na halitakuwa jipya. Gaucho alitukataa over Barca, Sanchez alituchagua over Manchester city, Jorginho kaikataa city kaenda Chelsea. Hiyo ni mifano michache tu. Kwa hiyo sio kitu kipya. Kikubwa kinacho takiwa kufanyika ni kupata at least 75 ya targets ambazo kocha ameziainisha. Watu wanao husika na usajili inabidi waonyeshe kwamba wanafanya jitihada kuweza kumshawishi mchezaji husika.Style ya uchezaji wa JM inafanya tuonekane kama leicester kwenye dirisha la usajili,akiendelea huyu bwana itafika mahala tukigombea mchezaji na swansea mchezaji ataichagua swansea.