Umewahi kuiona manchester united ya 2002 hadi 2004 mwishoni? Hivi unajua kama wenger walitaka kumpa timu mwaka 2002?Jana tu kacheza na bayen mechi ya kirafiki cyo ya kupoteza chochote.bora wangecheza mpira wa kuvutia cyo kupark bus .
Yaaan yule jamaa mpk hasira yan
Kwahiyo mkuu unaona tumpe miaka mingapi waziri wetu wa ulinzi? Kama kumi hivi sio?
Maana tuendako naona kiza tu
Au radika ndio Mourinho mwenyewe jamani?
Jus kiddin bro!
Hahahahahahahahahahahahahahahahahuyo jamaa radika huwa nasoma comments zake naishia kusema dunia hii ina mifugo na binadamu
Kwani martial ni striker?
Umemuona mbape na perisic?
acha kujiona na kujisikia we jamaa halafu kwa hii komenti waonekana mjivuni mnohuyo jamaa radika huwa nasoma comments zake naishia kusema dunia hii ina mifugo na binadamu
Tatizo letu sisi ni kocha tu...uwezo wa mou ndio umefikia mwisho
Timu yenyewe ilikuwa na watuZizzou anajua kushinda..zizzo hakufanya usajili mkubwa tamgu alipokuwa kocha lkn walichukua makombe ya kutosha..
Wakati kichwa box huyo watu kibao wamempiga block hata sisomag post zake najua maumivu anayoyapata na bado.acha kujiona na kujisikia we jamaa halafu kwa hii komenti waonekana mjivuni mno
Timu hii ishafeli..wewe unategemea mou kubeba epl??Kwa hiyo furaha yako ni kuona timu inafeli
Mkuu wewe ni mwanafunzi wa history siku ukiwa free na una muda wa kujisomea utasoma history hio hio ama utafanya hisabati?Jana tu kacheza na bayen mechi ya kirafiki cyo ya kupoteza chochote.bora wangecheza mpira wa kuvutia cyo kupark bus .
Yaaan yule jamaa mpk hasira yan
So misimu yote miwili timu haina progress? --Tulivyoshika nafasi ya 6 mpaka kuja nafasi ya 2 sio progress?Kama ishu ni kujenga tim bora asilie kununua wachezaji.atumie hao hao
Katumia pesa nying kufanya usajili hakuna progres yyte misimu miwili .
Mbaya zaidi unaenda na defence mentality kwa timu kaliba ya leicester tot?
Bora ungedifens na man city cyo vibwengo vngn
Source: SKY ITALIABREAKING: manchester united have turned down a €50M + yerry Mina + Andre gomes offer for Paul pogba from barcelona