Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lazima achukie tu miezi mitano nyuma huko kaomba players watano hadi sasa kapata wawili tu hata mimj ningetema mbovu anaepata shida uwanjani ni kocha sio ed woordward mpatie watu kama atasema hao sio wangu tuone
 
Kocha kamtaka perisic weee mkurugenzi wa timu kajizungusha hadi dirisha limefungwa kisa jamaa hana jina la kuuza jezi hapo analaumiwa mourinho

Sanchez alipotakiwa fasta katoa pesa kisa auze jezi

Mourinho anatatizo gani muda wote mnamlaumu?

Kachoka na ujinga wa ed kaanza kuongea hovyo kazi inakuwa ngumu

Van gal kalalamika sana usajili

Moyes nae kalalamika sana bodi kuhusu usajili

Mchawi ni ed woordward kajikita kipesa sio uwanjani akisikia wachezaji wa jezi fasta kabeba.
 
Hata kama wanalipwa lakini HUWEZI LINGANISHA NA CLUB LEVEL
Ngoja nikupuuze kumbe ulikuwa hujui na hujui

Unaijua thamani ya kuchezea National team? Wachezaji wangap wanapigania kuitwa huko? Kule ni zaidi pesa sio pesa unazotaka mtu alipwe kila mchezaji ana dhamira ya kuliwakilisha taifa lake ktk soka si fedha ambazo wanafuata ni moyo wa kizalendo mchezaji anaechezwa pesa ni ngumu kuipenda club anajari maslah yake tu si club ndo mana huoni leo watu kama wakina scholes au kean na giggs
 

Mkuu radika Mou hata apewe mchezaji gani hakuna atakachofanya pale OT.

Timu yetu ina kikosi kizuri mno,Mou kazi yake ni visingizio tu.
Wachezaji wanatakiwa wapewe moyo sio kila muda kuwapa lawama tu ni kuwakatisha tamaa, angalia Martial.


Kama unategemea timu kufanya vizuri chini ya Mou utapata tabu sana.
 
Ukiangalia usajili unaofanywa na city halafu uje bodi inavyovutuna na kocha suala la usajili utaona kabisa kocha anawekwa kwenye mazingira magumu mno

Hivi zile sajili za chelsea tulivyokuwa tunapokea vipigo ni sajili za nani?

Kwa nini asipewe watu kisha tuone?

Ukiangalia aliomba wachezaj toka mwez wa tano je kapewa?

Ukisoma maelezo yake na maombi yake kabisa ndo matatizo ya united lakin hatuangalii kungine tupo na kocha tu.
 
Last edited:
I like ur confidence mkuu..i like that..lets hope it'll happen!!
 
Apewe kwanza anacho hitaji. Halafu akishindwa ndio tumlaumu. Ila tusiongele kitu ambacho hakipo.
 
Kilichotokea kinajulikana, ila iyo "free will" ilitumikaje? Kama ilitumika.
Kwamba ukishinda pre season unanafasi ya kubeba ubingwa? Madrdi na barcelona si wanapigwaga sana huko msimu ulioisha barcelona pre season kapigwa 4-1 na liverpool mekutana nae champions league mmemfunga barca? Bingwa wa spain ni nani? Liver alimaliza kwenye lig wangap?

Nakakumbuka ka post kako ulimponda sana pogba habeb kombe la dunia kakujibu kiazi na goli juu final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…