Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani we jamaa akili zako nacheka sana watu hapa tunajadili vizur bila kuleta mikwara ya kitoto hadi raha sasa wewe unampiga nani mkwara?


Baada ya class of 92.nini kimefuata huwa nakupuuza sana na sipend kukujibu
 

Hauwezi kumuanzisha Chong au Gomez kwenye mechi za mashindano.
 
Hebu niambie chong na gomes mctominay na yule kipa mdogo kocha yupi kawapandisha?
We Jamaa nasoma comments zako zimejaa upupu.

Unatokwa mapovu na hao wachezaji ambao hawapati nafasi isipokuwa mctomminay.


Mbona huwataji wachezaji vijana ambao mourinho aliwakuta Van Gal kawaweka kwenye sehem ya kikosi na amewauza kama si kuwatupilia kwenye vitimu vya hovyo. Kuna bwana mdogo alikuwa anapiga namba tatu Cameron Jake Borthwick-Jackson. Unajua huyu yuko wapi sasa?

Van Gal huyu bwana mdogo alikuwa ameshaanza kuaminiwa.


Daaah ngoja niishie hapa
 
Mfumo wa Mourinho ndio wenye matatizo, Mourinho ana wachezaji wake. Kama anaona sio mchezaji unaemfaa atafanya kila mbinu akuondoe.
Kisu mkuu hilo lipo wazi kila kocha huwa na mfumo wake kila kocha huwa anafagia kutafuta timu anayoona ina mfaa city,liverpool,chelsea hata spurs potchetino alifagia sana mwishowe timu hukaa sawa shida tunataka kushindana na timu zilizojijenga muda mrefu
 
Lingard ametoboa wapi??..world cup umeona alivyokuwa ovyo??
Mimi team yangu ya Taifa ni England since wayback.


Nasema, Dele Ali, Lingard na Sterling hawa ni wachezaji wa hovyooooo sijawahi kuwaona. Na wamechangia kwa kiasi kikubwa England kutoka nusu fainali.



Ukiona mtu mzima anamuona Lingard shujaa akapimwe akili.
 
Kwasababu umejitanabaisha sio shabiki wa team hii, unaruhusiwa kusom comments mkuu sio kila kitu ukommemt.
 
Kombe bila kucheza entertaining football haina maana..nani ambaye alikuwa haenjoy kuangalia mechi za liverpool msimu uliopita??
 
Hii gemu ya sevilla ndo niliamini huyu jamaa ni mbahatishaji tu..jitu kama fellaini siku chache kabla ya hiyo mechi aligoma kusaini mkataba wa kuondelea kubaki united,na alikuwa hajacheza mechi nyingi,,ila mourinho alimwanzisha,,kilichotupata wote mnakijua

Sasa hapo utasema una kocha??
 
You're such A watermelon Head.


Mtu unapewa £ 300 milion za usajili unakuja kusema wachezaji wana miili midogo?????


Ukimtoa Sanchez nitajie mchezaji aliesajiliwa na mourinho ambae si giant. Pogba, Lukaku, Matic, wote hao kawasajili mourinho.


Halafu vitu kama hujui you better freeze your Fucking Mouth. Hujui kama kabla ya Kuja Sanchez upande wa kushoto alikuwa anatokea Rashford au Martial?? Au umesahau??? Na kama unakumbuka kila aliekuwa anaingia kuchukua namba ya mwezake lazima akiwashe .


Mambo yamebadirika baada ya kutua sanchez. Ile rotation ya kuchezeshwa rashford na martial kwa kupokezana imepotea. Ni either mmoja acheze mwingine bench limuhusu. Fuatilia game za united utaona hili.


Lastly , kocha kulalamika ni dalili ya kushindwa.
 
Kombe bila kucheza entertaining football haina maana..nani ambaye alikuwa haenjoy kuangalia mechi za liverpool msimu uliopita??
nani anakumbuka hizo moments? labda salah alipata awards! wengine wote hakuna anaekumbuka hizo mnaziita entertaining moments ndio maana saivi wamevunja kibubu waimarike wabebe kombe!
 
Nashangaa sana mchezaji kiwango kinashuka lawama anapewa kocha hii ajabu

Kama martial talented anaachwaje anaitwa dembele aliecheza mechi chache barcelona na kaitwa katoka kwenye majeruhi?

Martial anahitaji kukaza sana
Kwahiyo ukiachwa kikosi cha team ya taifa wewe ni mbovu???


Lacazette vs Giroud nani alikuwa na takwimu nzuri ???


Sane vs Brandts nani alikuwa na mafanikio au takwimu nzuri kabla ya world cup?


Ila najua unatambua nani aliitwa World cup?


Halafu huyo Dembele alicheza game ngapi ?
 
Darmian hilo kocha alifanya kosa hamna kocha asie kosea mfano mechi ya city na liverpool

Liverpool walikuwa wakiongoza 4-2 klopp alimtoa can na kumuingiza milner bado kidogo mechi iishe 4-4

Iiverpool vs everton

Iiverpool alikuwa akiongoza 1 klopp kamtoa salah

Everton wakarud mchezon mechi ikaisha 1-1

Mifano michache tu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…