Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lost 4 consecutive final
Halafu analazimisha kutambuliwa beki bora duniani liverpool gundu sana kocha ana miaka minne hana kombe lolote anasifika kwa kushambulia siku hiz makombe hawatak liverpool.
 
MUFC has agreed terms with Ajax for the transfer of Daley Blind. A further announcement will be made in due course.
 
Billioni 53 zinamuondoa Blind Man United. : Vilabu vya Manchester United na Ajax FC vimetangaza rasmi kukubaliana ada ya uhamisho ya kiasi cha jumla cha €20m sawa na billioni 53 za kitanzania kwa ajili ya usajili wa beki Dale Blind kurejea nchini Uholanzi. : Blind alijiunga na Manchester United akitokea Ajax miaka 4 iliyopita kwa ada ya €14m, na sasa anarejea kuitumikia klabu iliyomlea baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha Jose Mourinho.
 
wanapokuwa kwenye siku zao kabumbu linasakatwa ipaswavyo kweli?
 
Tumepata ka faida ua bado hasara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…