Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Imeripotiwa Manchester United wamefikia makubaliano ya kulipa kiasi cha £17m kwa ajili ya kumsaini beki wa kulia wa Porto Diogo Dalot. Dalot ameshaitumika Porto kuanzia ngazi za chini, mpaka sasa kwenye kikosi cha wakubwa, ana umri wa miaka 19 na raia wa Ureno.
 
Yaya Toure thinks Jose Mourinho may take revenge next season
na msimu ujao ndio wa mwisho kwako bila epl tunakutimua
 
Man Utd kama wamenisikiliza vile, huyu jamaa nilikuwa namuangalia na kujiuliza kwa nini anachezea West Ham? Hawezi kutusaidia kweli? Kwa maoni yangu huu utakuwa usajili mzuri. Ingawa age kidogo imeenda sio mbaya akitupa misimu miwili mizuri.

Manchester United want Marko Arnautovic from West Ham

Manchester United are interested in signing West Ham forward Marko Arnautovic, according to Sky sources.

Sky Sports News understands the Hammers have no intention of the selling the 29-year-old and value him at £50m.

Arnautovic joined West Ham from Stoke for a club-record £25m fee last summer and scored 11 goals during his debut season with the club.
 
kwangu mimi namuogopa huyu jamaa kuliko Lukaku.......kwakweli mkifanikiwa kumsajili dah nitakuwa na hali ngumu kila tukikutana MANURE .............maana nilikuwa naiogopa stoke city kipindi jamaa alikuwa kule na msimu huu nilikuwa naihofia westham sababu yake huyu ni mshambuliaji anayetia njaa muda wote wa mchezo kwani ni hatari ndani na nje ya box la mpinzani
 
£ 50m bora ungeniambia Jamie Vardy amekuwa na consistency karibia misimu yote aliyocheza kwenye ligi
 

usajili wetu unaonyesha jinsi tunavyorudi nyuma kuliko kwenda mbele.
 
Huyu jamaa juzi tu hapa kuna mtu nilikua namwambia hapaswi kuwa westham jamaa anaujua sana.
 
Huyu na Lanzini.

Kiufupi huyo jamaa anaweza kumpiga lukaku bench.

Kwanza ana control nzuri
😀😀😀ila aina ya wachezaji tunaowataka bwana.
Yah sure sijaona lukaku alichomzidi jamaa labda ajirekebishe msimu mpya ila kwa touch zile bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…