Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Hivi bado ni mchezaji wetu?, si msimu umeisha na mkataba unaisha ?Maisha ya kiungo Marouane Fellaini ndani ya Manchester United yanaonekana kufika mwisho baada ya mchezaji huyo kuhama katika nyumba yake Cheshire, vilabu vya monaco, Marseille vinavutiwa kumsajili mchazaji huyo.(Sunday People)
Huyu mpuuzi,mourinho ndo anambembeleza abaki old trafford..yaani upuuzi mtupuMaisha ya kiungo Marouane Fellaini ndani ya Manchester United yanaonekana kufika mwisho baada ya mchezaji huyo kuhama katika nyumba yake Cheshire, vilabu vya monaco, Marseille vinavutiwa kumsajili mchazaji huyo.(Sunday People)
Hivi bado ni mchezaji wetu?, si msimu umeisha na mkataba unaisha ?