Ligi si kama tu imeisha??..au bado tunapambana kuwa wa pili?Leo tu nahitaji point tu.
Wamefanywa nnWalivyotendewa joe hart na yaya toure angekuwa ni mourinho dunia ingesimama
Wamelishwa nyama ya ng'ombeWamefanywa nn
Mkuu sijakupata hvyoooWamelishwa nyama ya ng'ombe
Mkuu mi naona ni sawa tu waache kwanza wakae sawa umr wao bado mdogoMourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...
Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Madogo hawajakua hao.Mourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...
Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Lukaku ana ofer vitu vingi sana kwenye timu (defend,create chance,assist,score goals) na ana uzoefu ukilinganisha Martial/Rashford so far ameshafunga magoli 100 kwenye EPL na ndio ana miaka 24.Mourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...
Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Siku Lukaku akiweza kuwa na FIRST TOUCH nzuri atakuwa striker kamili. Anaelekea huko.Lukaku ana ofer vitu vingi sana kwenye timu (defend,create chance,assist,score goals) na ana uzoefu ukilinganisha Martial/Rashford so far ameshafunga magoli 100 kwenye EPL na ndio ana miaka 24.
Kwa age yao na makosa wanayofanya ni ngumu sana kuanza kikosi cha kwanza kwenye timu kubwa
Lukaku alishawahi kukosa penalty akiwa Chelsea mechi na Bayern.. Morinho akaamua kumpiga bei kabisaMourinho kweli kawachoka martial,na rashford..hawapo wote kwenye kikosi kinachoanza..hivi sio kwamba anawatreat vibaya??...nakumbuka kuna kipindi lukaku alikuwa ovyo kwa takribani ten match in a row,lakini alikuwa haadhibiwi...
Ni bora aseme hana mpango nao,watembee.
Wewe kijana ukijaga humu unakuwa kama mtu aliyechanganyikiwa,hujishtukii?Wewe man u una ng'ang'ania kucheza uefa wakati huna uwezo hata wa kufika robo fainali.!
kwanini usiwe na mipango mingine tu ukaachana na uefa?!
Kwani wewe umeshajishtukia?Wewe kijana ukijaga humu unakuwa kama mtu aliyechanganyikiwa,hujishtukii?