Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nakumbuka waqt wa babu alikuwa na uwezo wa kupanga watoto katika game ya arsenal na tunapata matokeo mazuri tu hapa Rafael kule nani huku Anderson kiukweli ilikuwa burdan watu wazima ilikuwa captain wazza na young pamoja na the three lungs (ji sung park )game moja golkipa kaokoa ukamkuta park akatia ndefu kwa wazza huku ronaldo yupo katika kasi yake akatiliwa telling ball waya tuliwapa tatu siku hiyo
 
Zile 8-2 timu ilikuwa imejaa vijana wenye uwezi na ari. Alikuwepo Anderson,Smalling,Jones,Cleverly,Welbeck,Nani,Ashley Young
 
Hichi kikosi cha Van Gaal mwaka 2016 zidi ya Arsenal uwanja OLD TRAFFORD

MANCHSTER UNITED 3 ARSENAL 2
RASHFORD 2 HERRERA 1
WELLBACK 1 OZIL 1

Player ratings

Manchester United: De Gea (7), Varela (7), Carrick (6), Blind (6), Rojo (6), Schneiderlin (6), Herrera (7), Mata (7), Depay (7), Lingard (6), Rashford (8).

Subs used: Fosu-Mensah (6), Januzaj (5), Weir (5).

Arsenal: Cech (6), Bellerin (6), Gabriel (6), Koscielny (6), Monreal (6), Coquelin (5), Ramsey (5), Welbeck (7), Ozil (7), Sanchez (6), Walcott (4).

Subs used: Giroud (5), Elneny (5), Iwobi (5).

Man of the match: Marcus Rashford
 
Hivi hii haikuwa mechi ya kwanza ya ligi kwa Rashford? Baada ya kufanya mambo Europa League?
 
aseno imejichokea sio ya kuijadili hapa na mwakani hawapo kombe lolote kubwa
 
Mkuu tafuteni makocha wanaoeleweka, Ancellot au yule Enrique aliyekuwa Barca, uzoefu muhimu sana. Huyo Wenger hakuwahi kuwa na CV ya maana, hata alipokuja Arsenal huko alikotoka alikuwa kaishusha timu daraja.
wamchukue unai emery anaitema psg mwisho wa msimu
 
Hivi huyu no 8 mgongoni alikuwa anajitelezesha au ilikuwa ni serious? Manake kuna game huwa nahisi alipiga short back pass akijua drogba lazima ataunasa ile mpira na kufunga. Huwa naamini ile mechi huyo jamaa aliipanga ili man u wasichukue ubingwa
na pale ndio niliamini rasmi jamaa haipendi united kutoka moyoni kabisaaaaaaa maana hata mashabiki wake hawakuchukia kile kitendo
 
"timu ambayo haina mchezaji wa kibrazil hiyo siyo timu"-mourinho

Hapo ushaelewa kuwa lazima mbrazil atue ot msimu ujao
 
MUFCPOTY

Denzil Haroun reserve team player of the year: DemetriMitchell

Goal of the season award: Nemanja Matic for his remarkable strike v Palace.

POTY: David De Gea

YPOTY: Tahith Chong

Players player: David De Gea

Managers POTY: Scott McTominay
 
David De Gea

Best of Best...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…