Karibu sana mkuu..sisi ndio mashetani..daima tuko hapa..iwe mvua..iwe jua...
Bahasha...bahasha....bahasha....bahasha.....ndio slogan yako, tushakuzoea.
Ohhhhhhhhhhhh! sikuona hii, Webb hakua kati nini?
Duh, ww kwel shetani wa ukwee'?, au?, una bifu binafsi na SAF?, maneno makali kama hayo hayafai kwa kocha ambae kakufanya hapo ulipo na timu yako....kiungo yes ni tatizo. In SAF we trust.
Well said..tuhaitaji kiungo wa dimba dogo, Fletcher tangu arud frm virus infection hajawweza ku acclimatize na pace ya game.
Mko safi msimu huu to b honest.naona umeamua kuwatolea uvivu kwa sisi The Citizens tunachukua ndoo msimu huu wetu..
Very long week
Naona kuna member walikufa huko jukwaani kwenu ,wameanza kufufuka mmoja mmoja,huku wote tuko salama bora hizi game za kimataifa zimeisha hadi mwakani ,Eq yupo kijijini hamna networkBelo bana wacha majungu. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msalimie Manda boy naona baada ya kichapo cha Mancs kapunguza majigambo. Vipi Eq bado yuko ICU?
Belo bana wacha majungu. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msalimie Manda boy naona baada ya kichapo cha Mancs kapunguza majigambo. Vipi Eq bado yuko ICU?
Naona kuna member walikufa huko jukwaani kwenu ,wameanza kufufuka mmoja mmoja,huku wote tuko salama bora hizi game za kimataifa zimeisha hadi mwakani ,Eq yupo kijijini hamna network
lakini Wacha1 umeangalia hilo goli?
Kijana, naona unajipendekeza kwa Belo, ehh???, mm niko nimejaa tele, nimepozi kwa muda ktk na EPL kupisha haya ma-internationals, naanza rasmi majigambo yangu (yenye tija), kesho.
Vp, mkeo hajambo kijana wangu?
Good that Vidic & Ferdinand start, bado naiamini hii partnership.
Mechi ya leo itatusumbua kidogo.
Kwani imekuwaje ... .... ... huku Alaska hakuna umeme khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee