Amezifunga timu zote kubwa. Next season tukiwa makini na timu ndogo tunachukua ndoo. Tumepoteza points vs Huddersfield,Leicester,Newcastle,Wes Brom,Burnley,Stoke city tungeshinda hizi tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi.Jose alikuwa analaumiwa rekodi mbovu kwenye big match but msimu huu sioni hizo lawama tena na ameshinda Etihad na Emirates
Mkuu yule anawafaa sana..huo ujinga wa kumfikiria sijui Viera acheni. Tafuteni kocha mzoefu.
Dembele humnyang'anyi mpira kibwege hilo ndio tatizo alikuwa anaenda huku mara ana akhirisha safari anarudi huku basi nafsi yangu haikutulia mpaka katoka.Huyu sikuona madhara yake shida ni ericsen sikupenda awe na mpira
Herrera sio mtu mzuri. Alimficha KaneHivi Harry Kane kipindi cha pili alitoka mbona sikumuona kabisa 😛
Shukran (bubu ataka kusema )toka juzi napita kwenu najiuliza niwape pongezi au pole nakosa jibu basi napita kimya tu.Hongereni sana humu wapenzi na mashabiki wote wa ukwee wa MANU kwa kulibeba kombe mbuzi kwa mara nyingine tena. Yule mtani wenu BAK wa siku nyingi alipita kuja kuwapa pongezi si haba.
Huwa sina imani na Louis. Naona kama pale barca timu ndo ilimbeba. Alikuwa Roma alifanya kipi cha maana? Ila mi si shabiki Wa asenoMie binafsi ningependa sana kuona mmoja wa wacheza wastaafu wa Gunners lakini utaambiwa hawana experience!!! Huyo Babu mwenye experiences ya miaka chungu nzima kaipeleka wapi timu? 😱
Massimo allegri naamini atawafaa ila fungu la usajili liwe la kueleweka. Mana mnaweza kuwa mnamlaumu Wenger kumbe bodi inatoa hela za usajili kiduchuMie binafsi ningependa sana kuona mmoja wa wacheza wastaafu wa Gunners lakini utaambiwa hawana experience!!! Huyo Babu mwenye experiences ya miaka chungu nzima kaipeleka wapi timu? 😱
Kweli dembele Jana hakuwa na jambo,ericksen alikuwa mwiba sanaHuyu sikuona madhara yake shida ni ericsen sikupenda awe na mpira
Dembele humnyang'anyi mpira kibwege hilo ndio tatizo alikuwa anaenda huku mara ana akhirisha safari anarudi huku basi nafsi yangu haikutulia mpaka katoka.
Kweli dembele Jana hakuwa na jambo,ericksen alikuwa mwiba sana
Jose alikuwa analaumiwa rekodi mbovu kwenye big match but msimu huu sioni hizo lawama tena na ameshinda Etihad na Emirates
Kane karudishwa haraka kutoka majeruhi, he isnt up to speed
He is deludedKuna watu wana maajabu duniani, kwa sababu man city kishakua bingwa basi kwa IQ yake the so called mchambuzi uchwara wa jf basi hakuna haja ya timu zingine kushinda mechi zilizobaki. Unamuuliza mtu eti lengo la kushinda mechi ya jana ni nini?thanks GOD he is not one of our own