Mkuu wakati mwingine tutatenda dhambi tu,Sanchez ni 'mtu'
Mchezo dhidi ya city goal zote tatu zinatokana na mchango wake na upambanaji wake,aliassist mara mbili na ile assist ya kifua ya Herrera mpira ulitoka kwake baada ya kuwapita mabeki kiajabu.
Lawama zote abebe Mou,maana hadi tunamaliza msimu tupo nafasi ya pili(sijui kama tutamaliza wa pili)tunashinda kiajabu ajabu tu.