Leo nawashangilia mshinde. Mkipigwa ubaya tutahitaji mje uhamiaji na vyeti vyenu vya kuzaliwa pamoja na vya mababu/ mabibi zenu tangu enzi za Mjerumani
Naona mwanya kwa Danilo na Kompany...
Man u kama hamtopaki bus lenu leo game hii inawahusu kabisa.
Kwa upande wa man u, Young ana kazi kubwa sana kwa B. Silva.
Huyu Ander alikuwa nje muda mrefu sio wa kuanza mechi hii kubwa ya utani wa jadi. Lakini kwa ujumla timu nzuri, wale watoto wamewekwa benchi, ngoja leo nikaangalizie bar kifua mbele.
Kumbe Nyie Mnashindana Na Liverpool?
Ni lifikiri Timu zote 19 zilizobakia zinaongozwa na Man City anayeongiza Ligi! Kumbe Nyie Baada ya Kupambana na Anayeoongoza Ligi Munajisifia Kupambana na Liverpool aliye Wa NNE?
Basi sisi Hatushindani na Nyie Kabisaaaa Kwani Tunajua Kwa nafasi Muliyopo Nyie si Washindani Wa Yoyote!
Bali Mshindani Wetu Kwa Sasa Tunayepambana nae Ni Man City Katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na sio nyinyi.
Angalau mungelimhofia Spurs aliye watatu na Karibu yenu basi ingemake sense.
Leo nawashangilia mshinde. Mkipigwa ubaya tutahitaji mje uhamiaji na vyeti vyenu vya kuzaliwa pamoja na vya mababu/ mabibi zenu tangu enzi za Mjerumani