Acha kumfananisha profesa na rubbishKabisa, Mourinho ni kama mzee Wenger, hawaja-upgrade skills zao kuendana ma mpira wa sasa. Mourinho bado anatumia tactics alizotumia na chelsea wakati akiingia epl. Mambo yamebadilika.
Kocha kilaza anayelindwa na bahatiKweli mkuu, binafsi sijawah kuona mchezaji aliyeibuliwa na Morinyo labda kule Fc Porto 2004
Hata sajili za wachezaji huwa anavizia aaone mchezaji anafukuziwa na vilabu vingine ndio nayeye anajichomeka pale
Kubwa sana tenaAna tofaut gan na Wenger
HahahaHahah!! Mkuu kwa mashabiki huu ni kama ugonjwa sijui, ona ata Arsenal walivyokua wanampigia kelele Wenger kuondoka lakini wameshinda game mbili tu sasa hv wametulia tuli
Dharau hiziKwema hapa poleni? Haina haja kusikitika kwanza UCL mlisukumizwa tu.
Hahah!! Mkuu kwa mashabiki huu ni kama ugonjwa sijui, ona ata Arsenal walivyokua wanampigia kelele Wenger kuondoka lakini wameshinda game mbili tu sasa hv wametulia tuli
Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzurMmmh aiseee kuna mashabiki wa ajabu humu timu ikishinda pongezi nyingi kwa kocha ikishindwa kocha anatupiwa lawama za kila aina. Ndo maana soka la Tanzania haliendelei kwa kusikikiza mashabiki uchwara wasio na uvumilivu
Numbisa mdogo wangu jana ki ukwel Mourinho alibet ile mech kabisa unamuanzisha fellain ambae miez minne alikua majeruh unamuacha pogba mata na McTominay ambao walicheza vizur mech na Liverpool jana kule mbele mipira ilikua haitulii na hata final passes hazikuwa nzur
Negative and positive impacts na reaction zenu kwa Mou. Doesn't matter mtashuka nafasi kiasi gani.Sasa game vs Man City ina nini? Tufungwe,tushinde yale yale. City ni bingwa Man utd atakuwa wa 2,3 au 4.
Mim sijakataa kuhusu haya matokeo tumeshafungwa na tumeshatolewa ila tactical way alichemsha sana ile jana na hawez kukimbia hilo kwenye kusifia atasifiwa ila kwenye kukosea atakosolewa piaPamoja na kosa la kocha. Angalia lawama za hawa wanaomlaumu kocha mmoja wao juzi juzi hapa alikua anasema man u walishinda kibahat sababu ya sub utadhan sub hairuhusiwi au wale wachezaji sio wa man u. Tusiwe kama arsenal fans,mou anakosea sana ila mechi ya jana kama tungeshinda haya makosa yake hakuna ambae angeyaona.
Lile kosa la bailly kujifunga mechi ya liverpool halikuonekana sababu ya ushindi ila kama liver wangerudisha magoli zaid na ushind juu bailly na mou wangekua kwenye lawama kubwa,juhudi zake zote zingesahaulika. Tukubali tu matokeo.