Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa walimtunza huyu muuaji wao. Wako vizuri. Tunahitaji goli mbili ili tupite. Mou mavi yanambana Leo.
Wakati nyie mnahitaji mbili, wao wanahitaji goli moja lingine tu ili mzikwe rasmi!
 
Eti ooh tumecheza mpira nbovu Ni link Manchester ya Mourinho imecheza mpira mzuriHahahahaha Kazi kuvizia vizia tu
 
Hili lijamaa nuksi kwelikweli limeingia dk 72 limetumia 6min kutia kambani bao 2,Mungu muwezeshe apige hattrick mana hakuna namna
 
Nikiongea humu Mourinho hajielewi huwa natukanwa na wakina radika and the likes...


Hivi mechi ya leo tena nyumbani kulikuwa na haja ya kupack basi kweli .. Huyu kocha sijui amewahi kupitia JKT mlale kwenye mazoezi ya kuruka visiki vya miashoki, haiwezekani awe na hofu ya kukilinda namna hii.


Game ya Liverpool nayo kipindi cha pili alipack bus kama lipuuzi fulani hivi..

GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…