Hawakutegemea kabisa hii game plan...tunafanya interceptions za maana...tumeshika Mane, Flemino na Salah...afu huku Rukaku anamsumbua Loveren na long balls...
Nadhani kipindi cha pili watakuja na plan B otherwise tuwanywa nyingi tu za counter attack...hapa inabidi tuwagonge cha tatu ndani ya dk 15 za kwanza za kipindi cha pili kabla akili zao hazijakaa sawa