Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaongea nn sasa
Mou angeacha kufanya
Hyo sabu mngeona cha moto


Mmeshinda ndo mnajileta

Special One hukutaka afanye hiyo subs sio? kwani hao waliokuwa wapo benchi walikuwa benchi kufanya nini?

Au ulitaka hao wakina Mata ulitaka waingie upande wa Palace?

*Mnashinda ndio mnajileta???? wewe utakuwa ni mgeni kwenye jukwaa hili
 
Sasa mkuu mbona kama unataka kuitenga hiyo substitute ya mata na rash na performance ya timu? Ndio nakuuliza hao wachezají na huyo aliyewaingiza hawahusiki na MUFC au?
Swali zur sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…