Sielewi ila nafsi yangu ilikuwa baridi sana sikuwa na khofu yoyote yaani kama nilikuwa nayaona magoli. Kiukweli game ilikuwa ngumu vijana wameupiga mwingi. Mou kafanya sub ya akili sana.
Kama kawaida maneno ya wakosaji hayakosekanagi ..."kama sio " kama sio zinakua nyingi bila sababu....
Maana ya substitute players ni nini...basi ndo kazi zake hizo...
Kila siku nasema Mou ni Tatizo kubwa Man U mnapinga kisa kamfunga Chelsea Juzi sina imani na Mou na hata matokeo ya hivi asilimia kubwa yanachangiwa na uwepo wake.
Lazima tukubali muda wake kama mkufunzi wa soka umeisha, Siku akitoka Mou nitaanza kuona Man U mpya.
Sasa tuwashukuru kwani hao ni wachezaji kutoka mtibwa? Hao ni wachezaji wa Manchester united na wanalipwa mshahara kwa kuichezea hii timu. Kutokea benchi sio tatizo maana wachezaji hawawezi kucheza wote at the same time.
Hahahaha oyoooooooooo nimefurahi sana baada ya kuboreka kipindi cha kwanza.
Kama kawaida maneno ya wakosaji hayakosekanagi ..."kama sio " kama sio zinakua nyingi bila sababu....
Maana ya substitute players ni nini...basi ndo kazi zake hizo...