Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipigo kibaya hadi kwenye mechi ya ligi jamaa Anaomba agrigetiii hadi mashuti

Hivi unafikir ungekuwa mtoano mourinho angekuwa boya?
 
Huyu Dogo Anakipaji Kizuri tu! Lakini Kwa Ninavyomuelewa Mourinho basi siioni Future ya Huyu Dogo.
Ukitaka kuona kama huyu ana future kwa mourinho dogo anacheza kwa maelezo vile kocha anataka havuk mstar ni mtu sahihi kwa mbinu zake ni nadra kumuona akipanda.
 
Shoga tu huyu waje jamaa walikua ndio wabeba tunguli za babu daah baada ya kustaafu na wao wakakimbia
Huyu scott alifanya vizur sana mechi za maandalizi ya msimu ukiona kocha hakutaka kumtoa kwa mkopo halafu namba anayocheza ina wakongwe na wataalamu jiulize sana kuna herrera,carick,matic,pogba kwa nini abaki?
 
Halafu, jezi namba 39 si ndiyo alianza nayo Rashford na kipindi hicho akawa anatupia balaa?
Rashford alikuwa akichezeshwa namba yake aliyoiozea sasa mfumo wa kumtoa kushoto na kulia umempoteza ila atakaa sawa tu ni mzur akicheza namba 9 sasa kuna ule ujio wa zlatan na lukaku umemfanya kocha awe anamtafutia sehemu ya kucheza
Hata ukiziangalia takwimu kafunga goli nyingi akiwa center foward.
 
Huyu Dogo Anakipaji Kizuri tu! Lakini Kwa Ninavyomuelewa Mourinho basi siioni Future ya Huyu Dogo.
Katika wachezaji ambao naamini watakuwa na future kwa Mourinho, huyu dogo yumo. Anakwenda na vile anavotaka Mou. Nimemsoma jamaa anacheza mpira kama kazi sio ubishoo kama wachezaji wengine. Na ni mtulivu sana na yupo makini.

Mwenyewe Mou kashawaambia Scotland wamwite akachezee taifa venginevyo Uingereza watamchukua.
 
Finali ipi? Copa del rey au? Maana final haitizamwi mechi ilopita ilikuwa ngap ngapi 😀 😀 😀
 
Mmeshaanza. Kabla Mourinho hajaanza kazi, mlisema hamuoni future ya Rashford, Lingard na Martial. Namba wanapewa ila wanambwela tu.


Hapa Hatupo Kubishana Bali Kueleza ideas zinazohusu Soccer!
Hivi Hao uliowataja (Rashford, Lingard na Martial) Nani hapo aliyekuwa ana Future Man U?
Hapana Hata mmoja hapo ambaye ana uhakika Wa FXI.
Au Hujui Kama Mourinho yupo sokoni Kutafuta World Class Watakao Cheza Hizo Nafasi Wanazocheza Hao?

Kuja Kwa Sanchez tu Rashford Kashaanza Kupotezwa!
Sasa Subiri Usajili Wa Next Season Uone Uone Mwisho Wa Hao Madogo.
 
Rashford ni mmoja ya wachezaji waliocheza mechi nyingi barani ulaya since last season(tangu Mourinho amekuja)

Jose alishasema baada ya kumsajili Sanchez wachezaji atakao sajili next ni midfielder (Carrick na possibly Fellaini ataondoka).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…