Mkuu Ni Can, Ox na Millner😀😀😀 Sema tu Hawatumii Muda Mwingi Kwa Kulinda, Bali hutumia Muda Mwingi Kwa Kushambulia, na Muda Mchache Ndiyo Wanalinda. 😀😀😀
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.
Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?