Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,163
Hahaaa.. Wewe ndio mzima siyo.?Ndoto za mchana nje ndani iyo vipi au umesahau kile kichapo cha 2-0 kwa sasa chelsea hainipi homa timu ni city na liverpool tu wakikuamulia wanakusaka kweli wewe chelsea mgonjwa
Ndo kocha wako timu ambazo away hapat point naanza kwangu chapa nenda kwa city chapa arsenal ulitokea tundu la sindanoHuyo City ukimuongelea hata wewe bado hujacheza naye.
Nisiendelee kupoteza muda wangu kwa mtu kama wewe najichora wakat uwezo wa kukutatindika upo najichosha tuHahaaa.. Wewe ndio mzima siyo.?
Hahaa.. Wewe kweli shabiki wa UTD. Sema chapwa siyo chapaNdo kocha wako timu ambazo away hapat point naanza kwangu chapa nenda kwa city chapa arsenal ulitokea tundu la sindano
Nyinyi mnakutana na bayern au barcelona au madrid ahahaaaaa natania tuhivi tukivuka hapa inachezeshwa draw tena au tunajua tunaenda kukutana na mshindi kati ya nani na nani??
Teh.. Shabiki uchwara. Ngoja na mi niendelee kufanya yangu.Nisiendelee kupoteza muda wangu kwa mtu kama wewe najichora wakat uwezo wa kukutatindika upo najichosha tu
Sasa ulitegemea ntakuwa mshabik wa chelsea?Hahaa.. Wewe kweli shabiki wa UTD. Sema chapwa siyo chapa
Dk 90 zitaongea mm nabet utapigwa zaid ya goli 4 kwa mpira ule wa kumtegea kipa tuArsenal vipi nayo? Mi sijafariji nafaham chelsea hana chake old traford kama wewe mnavyokufumuaga
Uchwara kukwambia nakunyuka? Utakuwa sio mzima kwa hiyo uliposema utanifunga ningekwambia sawa hapo ningekuwa shabik kamili?Teh.. Shabiki uchwara. Ngoja na mi niendelee kufanya yangu.
Kipato changu hakipo JFSasa ulitegemea ntakuwa mshabik wa chelsea?
Ulifichwa mwezi wewe droo umepata nafuu
Nane nane lazima uungane nae hakuna namna nimekutesa sana ningeshangaa kama mshabik wa arsenal atafurahia ushind wetuDk 90 zitaongea mm nabet utapigwa zaid ya goli 4 kwa mpira ule wa kumtegea kipa tu
Timu yako bado mbovu lakina unaleta ubishi kuninyooshea mimi kidole. Si ndio uchwara huuUchwara kukwambia nakunyuka? Utakuwa sio mzima kwa hiyo uliposema utanifunga ningekwambia sawa hapo ningekuwa shabik kamali?
Msubilie baca uwe unavuta punz vinginevyo utaugua sana.
Umeitwa hapa? Wewe si jana umepost huo ujinga nkajua una timu nzur kumbe na ww unatambua timu lako bovu sasa mashauzi ya nn? Ooo ntakupiga hapo hapk kwakoTimu yako bado mbovu lakina unaleta ubishi kuninyooshea mimi kidole. Si ndio uchwara huu
Member wote sio ww acha habar gigiKipato changu hakipo JF
Imebaki history tu.....timu itakuwa museams houseNane nane lazima uungane nae hakuna namna nimekutesa sana ningeshangaa kama mshabik wa arsenal atafurahia ushind wetu
Wakishinda basi bado na safi tu
Imebaki history tu.....timu itakuwa museams housekama wale watani zako wa jadi
Nitakupiga kwa sababu ya ujeuri wako na ubishi. Kichwa kontena akili harage.Umeitwa hapa? Wewe si jana umepost huo ujinga nkajua una timu nzur kumbe na ww unatambua timu lako bovu sasa mashauzi ya nn? Ooo ntakupiga hapo hapk kwako
Kumbe unalitambua..Member wote sio ww acha habar gigi
Kwa maneno msimu ule mlikuja hivyo hivyo kilichokukuta kwa maneno yako ya kanga conte anajuaNitakupiga kwa sababu ya ujeuri wako na ubishi. Kichwa kontena akili harage.
Kwa hiyo usifikir peke yako ndo unamake dooo member woteKumbe unalitambua..