Ufundishaji wake auna faida kwa team itakuwa inashinda kwa bahat ona kama hii game kama team ingekuwa inashambulia tungekuwa tunashambulia tushamaliza game
Bahati mzuri board ya manchester ina watu timamu na wanaojua mpira kuliko mimi na wewe thus y wamempa morinho mkataba mpya juzi tu baada ya kulidhika na anachokifanya