Naona mnaikumbuka misosi mliyowahi kusaza[emoji107] [emoji107] [emoji107]Mkuu hata mimi huwa najiuliza nakosa majibu. Yaani kwa sababu ambazo hatuwekwi wazi ghafla herrera amekuwa mchezaji wa qarabao na fa tu.
Binafsi huwa namuona herrera kama mbadala mzuri kucheza kando ya matic (sijamuongelea PP) maana ana uwezo wa kuichezesha timu haraka kuelekea mbele. Lakini leo hii McTomminay anamsubirisha herrera nje,unacheza na newcastle unatumia viungo wawili wagumu kama sio kukaribisha mashambulizi ni nini?
Mou aache wachezaji wawe huru kufurahia mpira sasa,ubingwa ushakuwa historia kwa msimu huu. Walau tufurahie hata burudani pekee kama makombe yameshindikana (kama alivyoamua wenger)
Umekutana na jibu usilolitana ulivyopost tegemea mtizamo tofauti kule kwenu tulikwambia rose bakley hana sifa za kuchezea chelsea ulikataa ukasema atafuata nyayo za lampard ntakufukilia kabur kule au mkiwa kwenu mnakuwa malaika? Lakina conte anaona chenga tuMimi nakushangaa unapoukataa ukweli na kuupaka vanila uongo.
Hapana mkuu kwa sasa city wanafanya vizur sanaJe, Munai-Acknowledge Man City Kuwa Ndiyo role model wenu? Naona mifano mumeifanya Mengi ya KuAccept Kuwa Man City amekuwa ni Upper Hand Katika City of Manchester.
Ni Jambo la Busara Kuwa Man City Ajifunze Kutoka Kwenu, Sio Nyinyi Kujifunza Kutoka Kwake
Hahahahahahahahahaha haya mkuu karibuNipo bana ndio nimetoka kuamka hapa....bado naamini huu ubingwa ni wetu
ila smalling sijawahi muelewa hata siku moja ila naombea majembe yetu yarudi ROJO&BAILYhawa watu tunawahitaji sana katika wakati huu mgumu ROJO&BAILY
It always take time to be like someone or more than someone. Just give him a time you know its a process.Umekutana na jibu usilolitana ulivyopost tegemea mtizamo tofauti kule kwenu tulikwambia rose bakley hana sifa za kuchezea chelsea ulikataa ukasema atafuata nyayo za lampard ntakufukilia kabur kule au mkiwa kwenu mnakuwa malaika? Lakina conte anaona chenga tu
maureen-whore is the best coach in the worldManchester united wachezaji tunao kabisa wakuweza kuipeleka timu tunapotaka mashabikiweng.
Ila hatuna kabisa kicha wa kutufanya tufike hapo tunapopataka labda tukibadili ila kw huyu wa sasa sina iman naye.
huwa anacreat bifu binafsi na wachezaji.. ni kwel kabisa herrela siyo wa kuwekwa benchi hilo bifu Lake binafsi kocha wetu, niliwah kusoma source moja kwamba tatizo la herrela na mour lilikuja kipind herrela alipomkaribisha rafk yake anaechezea Celta vigo kwenye uwanja wa mazoez wa Manchester kipind wanajiandaa kucheza na celta vigo, hapo ndo tatzo lilipoanzia
wakat mwngne huwa nadhan labda mour kazeeka iv anashindwa kabsa kuona POGBA SIYO DEFENSIVE MIDFIELDER, anamfanya pogba aonekane average player kabisa, kwanini matic na herrela wasianze harafu pogba awe juu yao kama free player, ila mour haon hilo.
kitu Kingine huwa namshangaa kumuamini smalling wakat kwenye benchi una beki bora dunian Marcos rojo mzima kabisa,dah huyu kocha bhana.
harafu mpira wa kudefend ushapitwa na wakati tena huwa naboreka sana tukikutana na timu ambazo zipo kwenye top 6 lazima mour adefend tu yan anakaribisha mashambulizi kabisa,
kuna mdau alishawah Kusema kwa tatctic za mour hatuwez kufika popote labda abadilike, ni kwel kabisa
Umeandika vizuri sana Mkuu , nilikuwa miongoni Mwa wadau walioliona hili tatizo la Mourinho ila mwenzetu Radika aliongoza majeshi ya kutuponda.Manchester united wachezaji tunao kabisa wakuweza kuipeleka timu tunapotaka mashabikiweng.
Ila hatuna kabisa kicha wa kutufanya tufike hapo tunapopataka labda tukibadili ila kw huyu wa sasa sina iman naye.
huwa anacreat bifu binafsi na wachezaji.. ni kwel kabisa herrela siyo wa kuwekwa benchi hilo bifu Lake binafsi kocha wetu, niliwah kusoma source moja kwamba tatizo la herrela na mour lilikuja kipind herrela alipomkaribisha rafk yake anaechezea Celta vigo kwenye uwanja wa mazoez wa Manchester kipind wanajiandaa kucheza na celta vigo, hapo ndo tatzo lilipoanzia
wakat mwngne huwa nadhan labda mour kazeeka iv anashindwa kabsa kuona POGBA SIYO DEFENSIVE MIDFIELDER, anamfanya pogba aonekane average player kabisa, kwanini matic na herrela wasianze harafu pogba awe juu yao kama free player, ila mour haon hilo.
kitu Kingine huwa namshangaa kumuamini smalling wakat kwenye benchi una beki bora dunian Marcos rojo mzima kabisa,dah huyu kocha bhana.
harafu mpira wa kudefend ushapitwa na wakati tena huwa naboreka sana tukikutana na timu ambazo zipo kwenye top 6 lazima mour adefend tu yan anakaribisha mashambulizi kabisa,
kuna mdau alishawah Kusema kwa tatctic za mour hatuwez kufika popote labda abadilike, ni kwel kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Roy Keane: “I always think if you’ve got Ashley Young in your back four you’re going to struggle. I think the guy’s a disgrace and if he’s a Manchester United player, I’m a Chinaman.”
[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
View attachment 695983
Ukweli mchungu huu.....Juan Mata: "I see children now and many things surprise me: they ask me about my boots and why I don't die my hair. I wonder "Why don't you talk to me about how to cross the ball, control it, the position of the body when I strike the ball?" [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
Juan Mata: "Previously, kids wanted a ball; nowadays they want boots and jerseys, they don't have a ball and they cannot play too much. Yet they don't mind because they can show off their boots and shirt and that's enough." [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
Juan Mata: "Football is losing it's essence, people talk about celebrations instead of goals. I'm not criticising people talking about boots or haircuts but I would ask that people talk more about the other stuff, about the game itself." [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]
Kama Pogba angelikuwa anacheza chini ya Pep nadhani angelikuwa na assists sio chini ya 20+.Umeandika vizuri sana Mkuu , nilikuwa miongoni Mwa wadau walioliona hili tatizo la Mourinho ila mwenzetu Radika aliongoza majeshi ya kutuponda.
Ni ukweli ulio wazi Mourinho mbinu zake ni "outdated" hawezi kuivusha team mbele zaidi ya hapo.
Pep hawezani na wachezaji viburi ivyoKama Pogba angelikuwa anacheza chini ya Pep nadhani angelikuwa na assists sio chini ya 20+.
Mpira wa sasa ni mpira wa kasi yeye anawaza kuzuia tu
Mfumo wa Pep unawataka viungo wa mbele/washambuliaji ndio wanapaswa kukaba kuliko hata mabeki huwezi kumkuta KDB anarelax na mpira kama anavyofanya PogbaKama Pogba angelikuwa anacheza chini ya Pep nadhani angelikuwa na assists sio chini ya 20+.
Mpira wa sasa ni mpira wa kasi yeye anawaza kuzuia tu